Miezi miwili iliyopita whitening nilifanya kwa 30000 Arusha.Dar sehemu ni nyingi Mia mpaka Mia unusu kinywa kizima.
Miezi miwili iliyopita whitening nilifanya kwa 30000 Arusha.
Yaap, nakubaliana na wewe si unajua biashara huria.Inategemeana na sehemu mkuu
Kwa Arusha nina uhakika na GEMSA hospital maeneo ya uzunguni, Bei ni TZS 40,000 kwa jino moja.Habari wakuu?
Naomba kufahamu vitu vifuatavyo ili niweze kugharisha meno yangu kutoka unjano uliokelea nipate tabasamu zuri?
Gharama za ku bleach/ whitening kama ni kwa jino au kinywa kizima?
Matibabu yanachukua siku ngapi ili meno kubadilika kutoka unjano uliokolea haswa mpaka weupe?
Clinic zinazotoa huduma hizo? ( kwa Dar es salaam au Mbeya itakuwa njema kwa location hizo) hata ukitaja na mikoa mingine uzi utakuwa faida kwa wengine.
Nawasilisha
Kama whitening pekeyake kama dakika 10 to 15, ingawa mimi nilifanya kwanza extraction (kama sijakosea spelling) then nikafanya whitening, hivyo ilinichukua kama lisaa kimoja hivi.Samahan kiongozi hyo ni kwa jino moja au ? Na atleast wanafanya kuanzia meno mangapi?
Per jaw, jino moja anafanya 5000, hivyo ingenigharimu kama 60000, ila per both jaw, ila kwa kuwa nilikuwa naumwa nikafanya na matibabu mengine ndo tukafikia hapo pa 30000 kwa kinywa chote.Samahan kiongozi hyo ni kwa jino moja au ? Na atleast wanafanya kuanzia meno mangapi?
Inategemea na wewe unatakaje, ukitaka jino moja, mawili, fizi ya chini yote, fizi ya juu yote au kinywa kizima. (Hapa nilipasahau)Samahan kiongozi hyo ni kwa jino moja au ? Na atleast wanafanya kuanzia meno mangapi?
Hii hospital inapatikana wapi?Per jaw, jino moja anafanya 5000, hivyo ingenigharimu kama 60000, ila per both jaw, ila kwa kuwa nilikuwa naumwa nikafanya na matibabu mengine ndo tukafikia hapo pa 30000 kwa kinywa chote.
Ht mm kwakweli, itabidi nifatilie hii mmojaAiseeeee, Kuna kuna mambo mengi a msingi yanatupita na hatuyajui.
"Teeth Whitening"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Never heard before
Arusha kuna sehemu moja wanaita mto wa Mbu pembeni mwa mji wa arusha.Hii hospital inapatikana wapi?
Taja mojawapoDar sehemu ni nyingi Mia mpaka Mia unusu kinywa kizima.