Naomba kufahamu gharama za kufanya meno yawe meupe (Whitening of teeth)

apologize

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2015
Posts
709
Reaction score
568
Habari wakuu?

Naomba kufahamu vitu vifuatavyo ili niweze kugharisha meno yangu kutoka unjano uliokelea nipate tabasamu zuri?

Gharama za ku bleach/ whitening kama ni kwa jino au kinywa kizima?

Matibabu yanachukua siku ngapi ili meno kubadilika kutoka unjano uliokolea haswa mpaka weupe?

Clinic zinazotoa huduma hizo? ( kwa Dar es salaam au Mbeya itakuwa njema kwa location hizo) hata ukitaja na mikoa mingine uzi utakuwa faida kwa wengine.

Nawasilisha
 
Kwa Arusha nina uhakika na GEMSA hospital maeneo ya uzunguni, Bei ni TZS 40,000 kwa jino moja.
 
Samahan kiongozi hyo ni kwa jino moja au ? Na atleast wanafanya kuanzia meno mangapi?
Per jaw, jino moja anafanya 5000, hivyo ingenigharimu kama 60000, ila per both jaw, ila kwa kuwa nilikuwa naumwa nikafanya na matibabu mengine ndo tukafikia hapo pa 30000 kwa kinywa chote.
 
Back
Top Bottom