Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Mkuu hilo ni suala la kukaa chini na unaetaka kumpa zabuni/kazi hiyo unampa rquirements zako anajuwa ukubwa na ugumu wa system unayotaka utengenezewe.
Je unatoa kazi kama wewe au wewe kama kampuni?
Je wewe unataka kutoa kazi kwa kampuni iliyo sajiliwa au hata kwa individual developer (freelancer software developer) bila ya shariti ya kuwa na kampuni?
Nitafute PM nikupe makadirio ya bei baada ya kuniambia unataka system yako iwe na nini au ifanye kazi zipi.
Ukijieleza sana hapa watu wataiba idea yako ya biashara, au sisi wenye kufanya hiyo kazi tunaweza kujibana bei au kuwatisha watu ktk kazi zingine zijazo.
Kumtengenezea John anae anza biashara gharama ni ndogo kuliko XSpace Limited ambae ni kampuni established yenye uwezo mkubwa na uwezekano mkubwa wa kuingiza fedha nyingi kupitia system hiyo kuliko individual John.
Habari zenu, naomba kufahamishwa gharama za kutengeneza website ambayo unaweza kufanya online payments za ndani pamoja na Visa & Master cards
Pia naomba kufahamishwa makampuni/watu kutoka hapa Tanzania, ambayo yanaweza/wanaweza kufanya kazi hiyo.
Kweli pesa adimu!!Kwangu, gharama ni 619000 ikijumuisha na ununuzi wa domain.
Naifanya kama freelancer!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba gharama yangu ni nafuu sana ukilinganisha na kazi yenyewe!?Kweli pesa adimu!!
Lakini safi unamsaidia kupata price quotation huku ukiwahi fursa.
mimi nakutengenezea kwa Laki 2 tu website bomba ikiwa na domain kabsa plus one month hosting serviceHabari zenu, naomba kufahamishwa gharama za kutengeneza website ambayo unaweza kufanya online payments za ndani pamoja na Visa & Master cards
Pia naomba kufahamishwa makampuni/watu kutoka hapa Tanzania, ambayo yanaweza/wanaweza kufanya kazi hiyo.