Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Habari zenu, naomba kufahamishwa gharama za kutengeneza website ambayo unaweza kufanya online payments za ndani pamoja na Visa & Master cards
Pia naomba kufahamishwa makampuni/watu kutoka hapa Tanzania, ambayo yanaweza/wanaweza kufanya kazi hiyo.
Pia naomba kufahamishwa makampuni/watu kutoka hapa Tanzania, ambayo yanaweza/wanaweza kufanya kazi hiyo.