fatherhood
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 537
- 556
Kwa Dar es SalaamMkuu nenda dodoma mvumi misheni hutajutia
Pale ghali sanaHonestly, najua CCBRT tu ndiyo kwa uhakika...
MVUMI na MACKAY HOUSE ZIPO DODOMAHabar jf
Sambamba na kichwa cha habari hapo juu naomba kufahamishwa hospital ya macho nzuri inayotibu kwa bei nafuu ukiachana na CCBRT ya msasani masaki .
Note . Kwa hapa Dar es Salaam
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Asante mkuuNenda Dr. Agarwal Morocco hapo, pale hata CCBRT hawafui dafu...
Ko nikifika Morocco naulizajeNenda Dr. Agarwal Morocco hapo, pale hata CCBRT hawafui dafu. Yanii teknolojia ya hali ya juu sana.
Kuna ndugu yangu alienda CCBRT ila kuna vipimo hakufanyiwa, ila hapo Agarwal aise aliwekwa mitambo na akaelewa shida ilikua nini
Kaka hapo Dr Agarwal wapo vizuri ndiyo sikatai ila mwambie jamaa ajichange bei yao sio ya kitoto yei zao zipo juu kichizi yaniNenda Dr. Agarwal Morocco hapo, pale hata CCBRT hawafui dafu. Yanii teknolojia ya hali ya juu sana.
Kuna ndugu yangu alienda CCBRT ila kuna vipimo hakufanyiwa, ila hapo Agarwal aise aliwekwa mitambo na akaelewa shida ilikua nini
Hawa jama walinirudisha barabarani kwa kunichoma kale ka sindano kadogo kama mwiba machoni na macho yangu yakapona kabisa, kwani gharama nini?Kaka hapo Dr Agarwal wapo vizuri ndiyo sikatai ila mwambie jamaa ajichange bei yao sio ya kitoto yei zao zipo juu kichizi yani
Mkuu wanapokea bima hawa?hawa jama walinirudisha barabarani kwa kunichoma kale ka sindano kadogo kama mwiba machoni na macho yangu yakapona kabisa, kwani gharama nini?
Je nikitaka kuchange miwani kwa maana ya frame na vioo vipya kwa bima wanapokea hawa CCBRT?Honestly, najua CCBRT tu ndiyo kwa uhakika...