HapanaJe nikitaka kuchange miwani kwa maana ya frame na vioo vipya kwa bima wanapokea hawa CCBRT?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaJe nikitaka kuchange miwani kwa maana ya frame na vioo vipya kwa bima wanapokea hawa CCBRT?
Je mtu anayepoteza kuona au kuona hafifu kwa sabab ya uzee nae anatibika?
Je humu mnaisema bei kubwa bila kutaja wastan mnatusaidiaje.
How expensive is expensive!
Hospital gani wana hii huduma mkuu kama unafahamuHapana
Toa maelekezohawa jama walinirudisha barabarani kwa kunichoma kale ka sindano kadogo kama mwiba machoni na macho yangu yakapona kabisa, kwani gharama nini?
Don Mafian cartel je Gharama zao zikoje?? 👉Kuanzia vipimo, madawa na nisipotaka kutumia miwani. Bei zao🙏🙏Nilitibiwa ccbrt 2017 mpk Leo nipo fresh we jichange ukapate tiba mkuu au unataka hospital za vichochoroni
Don Mafian cartel pale ccbrt Bei zao zipoje?? Kuanzia vipimo vya macho mpaka madawa na miwaniii🤔🤣Nilitibiwa ccbrt 2017 mpk Leo nipo fresh we jichange ukapate tiba mkuu au unataka hospital za vichochoroni
CCBRT nilimpeleka ndugu yangu ila wana bei sanaMkuu fatherhood ulienda kutibiwa??, [emoji117]Kama ndio ni hospital ipi Kati ya ccbrt au agarwal morroco
[emoji117]Gharama zao zikoje?? Kuanzia kupima ??, Dawa??
Maelekezo mengine boss, Nina Mgonjwa anasumbuka Sana[emoji120][emoji120]
Shingapi mkuu??, bei ya Vipimo na miwaniCCBRT nilimpeleka ndugu yangu ila wana bei sana
Ndugu ebu nenda pale Tandika,kwa unayetokea maeneo ya mjini ukifika mwembe yanga kama umepanda gari za kuendea Buza unashuka kituo kona ya Bandari na unatambaa na barabara ya lami kama unaendea majaribio round about na kabla haujafika utakutana na shule inaitwa Bilal muslim ukiivuka tu unakata kulia hapo unakutana na hiyo hospital,huduma zao ni nzuri sana na gharama ni kama bure maana kujisajiri ni 10,000 ambayo inabeba gharama zote ndani ya mwezi mzima hata kama utatakiwa operesheni ndani ya huo mwezi pesa hiyo hiyo inacoverMkuu fatherhood ulienda kutibiwa??, 👉Kama ndio ni hospital ipi Kati ya ccbrt au agarwal morroco
👉Gharama zao zikoje?? Kuanzia kupima ??, Dawa??
Maelekezo mengine boss, Nina Mgonjwa anasumbuka Sana🙏🙏
Samahani mkuu, hospital Ina itwaje???, Mbona Gharama ziko cheap hivyoo🤔🤔Ndugu ebu nenda pale Tandika,kwa unayetokea maeneo ya mjini ukifika mwembe yanga kama umepanda gari za kuendea Buza unashuka kituo kona ya Bandari na unatambaa na barabara ya lami kama unaendea majaribio round about na kabla haujafika utakutana na shule inaitwa Bilal muslim ukiivuka tu unakata kulia hapo unakutana na hiyo hospital,huduma zao ni nzuri sana na gharama ni kama bure maana kujisajiri ni 10,000 ambayo inabeba gharama zote ndani ya mwezi mzima hata kama utatakiwa operesheni ndani ya huo mwezi pesa hiyo hiyo inacover
ndugu yangu wamiliki wa hiyo hospital ndio wamiliki wa hiyo shule ni wale mashia,ujue mashia uwa na utaratibu wa kufanya matibabu bure na nadhani hata kuweka iko kiwango ni kutaka wananchi wathamini huduma kwa kujiona wamechangia kitu,mimi wanafamilia wangu wawili wasgpapata matibabu hapo tena mmoja operesheni kabisa mwezi wa kwanza,watu ni wengi wanaofika ila waweza kwenda siku kama leo kupajua then kesho yake unadamka kuwahi,huduma ni nzuri na salama nadhani unawajua jamii ya mashia katika masuala hayo,nenda ndugu yanguSamahani mkuu, hospital Ina itwaje???, Mbona Gharama ziko cheap hivyoo🤔🤔
👉Usalama wa matibabu ukoje??
👉 Hospital Ina itwaje??
👉Ushawai tibiwa hapo shikamkono01
Ukifika maeneo ya Tandika mkabala na chuo cha Bandari ndio ipo hiyo shule ya BilalSamahani mkuu, hospital Ina itwaje???, Mbona Gharama ziko cheap hivyoo🤔🤔
👉Usalama wa matibabu ukoje??
👉 Hospital Ina itwaje??
👉Ushawai tibiwa hapo shikamkono01
Inawezekana umefanya mtoto wa jicho (cataracts) ndiyo tatizo kubwa la macho uzeeni.Je mtu anayepoteza kuona au kuona hafifu kwa sabab ya uzee nae anatibika?
Je humu mnaisema bei kubwa bila kutaja wastan mnatusaidiaje.
How expensive is expensive!
Aisee maisha haya. Hospital zote za macho kubwa Tanzania nimefika.Mkuu fatherhood ulienda kutibiwa??, [emoji117]Kama ndio ni hospital ipi Kati ya ccbrt au agarwal morroco
[emoji117]Gharama zao zikoje?? Kuanzia kupima ??, Dawa??
Maelekezo mengine boss, Nina Mgonjwa anasumbuka Sana[emoji120][emoji120]
Umeongea vyote ila Gharama hujasema??, na hata location ya hizo hospital hujatajaa🤔🤔 duhAisee maisha haya. Hospital zote za macho kubwa Tanzania nimefika.
CCBRT
ALFA
MUHIMBILI
KCMC
AGARWAL
INTERNATION EYE HOSPITAL
AGARWAL NA INTERNATIONAL ni Wazuri , kama huna bima jipange vizuri (AGARWAL target DR. KAZIM DHALLA)
CCBRT ni Wazuri pia gharama nafuu ila ukienda upande wa private clinic yao kama huna bima jiandae kisaikolojia
ALFA- ni hospital ya Specialist mkubwa wa hapo Muhimbili yupo vizuri sana. Gharama ni za wastani tu
MUHIMBILI - Gharama ni nafuu kabisa, wataalamu ni wengi kutokana na tatizo la mtu husika. Jipange kuwahi foleni na kupoteza siku nzima ila kama ni MTOTO huwa wanapewa FAST TRACK
KCMC - Sina uzoefu nao sana mana nilienda mara moja tu. Ila jiandae kiakili kuwahi namba na foleni moja matata
Asante.Umeongea vyote ila Gharama hujasema??, na hata location ya hizo hospital hujatajaa[emoji848][emoji848] duh
Asante Philipo D. Ruzige je kuhusu Gharama za vipimo mfano shingapi kuanzia ccbrt kawaida na Dr agwaral ??Asante.
KCMC -Moshi KILIMANJARO
DR AGARWAR EYE HOSP-Morroco (Dar es Salaam ipo FAYKAT TOWER 4TH FLOOR)
INTERNATIONAL EYE HOSPITA - Ipo Eneo linaitwa VODACOM ilipo makao makuu ya VODACOM ipo jengo linaitwa TROPICAL HOUSE 2nd FLOOR
ALFA SPECIALIZED HOSP- Ipo UPANGA Next to ROMAN CATHOLIC UPANGA (wana tawi Mikocheni Chama nyuma ya ENGEN PETROL STATION
CCBRT CLINICS YA KAWAIDA NA PRIVATE zipo msasani njia ya kwenda COCO BEACH kituo kinaitwa MACHO (PANDA gari zozote za kwenda MASAKI utafika)
MUHIMBILI HOSP- Hii inajulikana sana
Kuhusu gharama: hizi zina vary tokana na tatizo na dawa ila INTERNATION NA AGARWARL gharama zipo juu kama huna Bima Ndio utakoma. Mfano dawa ya 15k pale ni 25k hivi. Pia wanahuduma nyingi ambazo bima haina cover.
CCBRT Private ina gharama kubwa mana ni premium clinic
CCBRT ya kawaida ni affordable tu kwa maisha yetu