Naomba kufahamu hospital ya macho inayotibu vizuri kwa gharama nafuu ukiachana na CCBRT

Naomba kufahamu hospital ya macho inayotibu vizuri kwa gharama nafuu ukiachana na CCBRT

Asante Philipo D. Ruzige je kuhusu Gharama za vipimo mfano shingapi kuanzia ccbrt kawaida na Dr agwaral ??
Vipimo vinatofautiana Sana. Ila CCBRT naona ni kuna nafuu mana wana ufadhili sana pale.

Labda ungekua specific otherwise nikulink na Dr wa Alfa Hospital ni mshikaji mnaweza ongea mkaelewana vizuri

AGARWAL vipimo karibia vyote bei ni kubwa
 
Nitashukuru Sana mkuu🙏🙏 Philipo D. Ruzige
👉Kichwa kinauma kwa juu
👉Mishipa inakuwa Kama inakaza
 
Habari JF

Sambamba na kichwa cha habari hapo juu naomba kufahamishwa hospitali ya macho nzuri inayotibu kwa bei nafuu ukiachana na CCBRT ya Msasani Masaki.

Note . Kwa hapa Dar es Salaam
Mvumi mission wako vizuri miaka yote na gharama zao ni kawaida Sana
 
Je mtu anayepoteza kuona au kuona hafifu kwa sabab ya uzee nae anatibika?
Je humu mnaisema bei kubwa bila kutaja wastan mnatusaidiaje.
How expensive is expensive!
Ulitumia gharama kiasi Gani ndugu,au gharama zao zipoje Ili niapte picha kichwani
 
Back
Top Bottom