Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Vipimo vinatofautiana Sana. Ila CCBRT naona ni kuna nafuu mana wana ufadhili sana pale.Asante Philipo D. Ruzige je kuhusu Gharama za vipimo mfano shingapi kuanzia ccbrt kawaida na Dr agwaral ??
Nitashukuru Sana mkuu🙏🙏 Philipo D. RuzigeVipimo vinatofautiana Sana. Ila CCBRT naona ni kuna nafuu mana wana ufadhili sana pale.
Labda ungekua specific otherwise nikulink na Dr wa Alfa Hospital ni mshikaji mnaweza ongea mkaelewana vizuri
AGARWAL vipimo karibia vyote bei ni kubwa
Nenda CCBRT kama upo Dar wapo vizuri na itakusaidia kusave costs japo ujiandae kwa foleni mlima.Nitashukuru Sana mkuu[emoji120][emoji120] Philipo D. Ruzige
[emoji117]Kichwa kinauma kwa juu
[emoji117]Mishipa inakuwa Kama inakaza
Mvumi mission wako vizuri miaka yote na gharama zao ni kawaida SanaHabari JF
Sambamba na kichwa cha habari hapo juu naomba kufahamishwa hospitali ya macho nzuri inayotibu kwa bei nafuu ukiachana na CCBRT ya Msasani Masaki.
Note . Kwa hapa Dar es Salaam
Nitaenda ccbrt nikacheck paleNenda CCBRT kama upo Dar wapo vizuri na itakusaidia kusave costs japo ujiandae kwa foleni mlima.
Otherwise cheki PM nimekutumia namba za Dr wa Alfa
Una bima?Nitaenda ccbrt nikacheck pale
Hapana mkuuUna bima?
Pole sana kaka. Angalau CCBRT patakua nafuuu kuliko hizo sehemu nyingine zoteHapana mkuu
Ko Kaka una nishaurii niandae kama kianzio Cha Bei ganii angalau??Pole sana kaka. Angalau CCBRT patakua nafuuu kuliko hizo sehemu nyingine zote
Ulitumia gharama kiasi Gani ndugu,au gharama zao zipoje Ili niapte picha kichwaniJe mtu anayepoteza kuona au kuona hafifu kwa sabab ya uzee nae anatibika?
Je humu mnaisema bei kubwa bila kutaja wastan mnatusaidiaje.
How expensive is expensive!