Mbona Hiyo ni ndui uliwapa chanjo ya nduiMaelezo kidogo mdau. Gumboro ni ugonjwa wa unaosababishwa na nini? Na vipi kuhusu matibabu ?
Kama sikosei wanasema ni corayzaMbona Hiyo ni ndui uliwapa chanjo ya ndui
Ni ugonjwa unaoambatana na ndui na kuna chanjo yao kuna ilw ya matone kwenye macho na ile ya sindano kwenye mabawa majina yamenitoka au unanunua ile inaitwa E.s.b 3. (I esi bii three)Maelezo kidogo mdau. Gumboro ni ugonjwa wa unaosababishwa na nini? Na vipi kuhusu matibabu ?
Thanks kwa DARASA! Mimi wangu wamepata chanjo hadi ndui lakini wananyongonyea na kushuka mabawa halafu wanakufa, Yawezekana ni Ugonjwa gani hasainaitwa Infectious coryza ni ugonjwa hatari wa bacteria ambao unaathiri mfumo wa upumuaji na huwa unaonekana kwa kuvimba macho na eneo chini ya jicho, kuku kutoa makamasi na kupiga chafya ugonjwa huu husababisha hasara kubwa.
cha kufanya
chukua wembe pasua huo uvimbe utatoa kitu cheupe kama gololi. weka dawa ya kidonda au paka ute wa jani la aloevera
safisha banda tumia dis infectant ya v-rid 20ml changanya na maji lita kumi na tano wape kuku vitamini kwenye maji,maana pia kupungua kwa vitamin A husababisha washikwe ugonjwa huo kirahisi. walishe majani kwa wingi na chakula kamili kutokana na umri wao. unaweza kutibiwa kwa kutumia antibiotic na dawa zenye salfa. uaweza kupata ushauri zaidi duka la dawa za mifugo
wafugaji wengi wanashindwa kutofautisha kati ya ugonjwa huu wa coryza na fowl pox (ndui)
fowl pox (ndui) wanakuwa na vidoti na madonda madonda mwili mzima mpaka hata baadhi ya sehemu za miguu na ukifunua mwanyoya na mabawa utaviona
coryza ni kama inavyoonekana kwenye picha
https://web.facebook.com/makurainvestment/
kama chanjo umewapa jaribu kuangalia kinyesi chao kina rangi gani. kama kina rangi ya ugoro au rangi ya kahawia au pengine wanaharisha damu. pengine ikawa cocissidiosis au typhoid. kunyongonyea na kushuka mabawa ni dalili ya magonjwa mengi. link ya ndondo ambazo zitakusaidia. unaweza kuchkua mmoja wapo ukapeleka kwenye duka la dawa kama pana daktari anaweza kumpasua na kuangalia.Thanks kwa DARASA! Mimi wangu wamepata chanjo hadi ndui lakini wananyongonyea na kushuka mabawa halafu wanakufa, Yawezekana ni Ugonjwa gani hasa
Toba yake ni ipi?Gumboro
gumboro sio ''dhambi''Toba yake ni ipi?
Ahsante sana kwa ushauri mzuri mdauinaitwa Infectious coryza ni ugonjwa hatari wa bacteria ambao unaathiri mfumo wa upumuaji na huwa unaonekana kwa kuvimba macho na eneo chini ya jicho, kuku kutoa makamasi na kupiga chafya ugonjwa huu husababisha hasara kubwa.
cha kufanya
chukua wembe pasua huo uvimbe utatoa kitu cheupe kama gololi. weka dawa ya kidonda au paka ute wa jani la aloevera
safisha banda tumia dis infectant ya v-rid 20ml changanya na maji lita kumi na tano wape kuku vitamini kwenye maji,maana pia kupungua kwa vitamin A husababisha washikwe ugonjwa huo kirahisi. walishe majani kwa wingi na chakula kamili kutokana na umri wao. unaweza kutibiwa kwa kutumia antibiotic na dawa zenye salfa. uaweza kupata ushauri zaidi duka la dawa za mifugo
wafugaji wengi wanashindwa kutofautisha kati ya ugonjwa huu wa coryza na fowl pox (ndui)
fowl pox (ndui) wanakuwa na vidoti na madonda madonda mwili mzima mpaka hata baadhi ya sehemu za miguu na ukifunua mwanyoya na mabawa utaviona
coryza ni kama inavyoonekana kwenye picha
https://web.facebook.com/makurainvestment/
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]gumboro sio ''dhambi''
kama ulimaanisha tiba. Gumboro haina tiba ina chanjo ya kuziua.