Naomba kufahamu juu ya hili kwenye simu za XIAOMI

Mdau jf

Senior Member
Joined
Sep 10, 2020
Posts
182
Reaction score
313
Kama bango linavyosema

Wajuzi naomba mnifahamishe juu ya hizi simu za xiaomi ambazo ni chinese version, zinasuport huduma za google?

Na je zinautofauti gani mkubwa na zile za global version?
 
Hakuna simu ya China inayosupport Google, simu zote si Xiaomi tu Hata ikiwa Huawei, honor na wengineo hazi support.

Ila zipo namna za kusupport google ukiwa nayo huku, mfano unaweza ukapewa option ya kuflash International rom ama uka install hizo google apps kupitia means nyengine.
 
Global version advantage yake kubwa ni 4G bands zake zinakua nyingi hivyo tatizo la mtandao ni ngumu kidogo kukutana nalo, na bei kidogo hua iko juu kuliko chinese version, wengi hununua chinese version na kuweka global rom.
OVA
 
True. ☑️
 
Zinasupport vizuri tu hapa natumia Xiaomi Redmi 9A ipo vizuri tu kwa apps zote za play store
 
Hakuna simu ya China inayosupport Google, simu zote si Xiaomi tu Hata ikiwa Huawei, honor na wengineo hazi support.

Ila zipo namna za kusupport google ukiwa nayo huku, mfano unaweza ukapewa option ya kuflash International rom ama uka install hizo google apps kupitia means nyengine.
Ukinunua shaomi redm note 114G chinese version inakuww haina amoled display pia.
 
Kunatofauti gani kati ya hizo display mbili
Ni somo refu mkuu. Ila kwa ufupi vioo vya amoled ni bei ghali, vinajiwasha pixel vyenyewe hivyo havitegemei mwanga wa Nje, vikionesha rangi nyeusi hujizima na kusave charge, mwanga mdogo unakuwa mdogo sana na mwanga mkubwa unakuwa mkubwa sana hivyo kuonesha rangi nyingi.

Ila uzuri huo unakuja na limitation ya burn in, vioo vyake baada ya muda mrefu vina tabia ya kuacha alama juu ya kioo.

Pitia zaidi hapa

Kunatofauti gani kati ya hizo display mbili
2-amoled-vs-ips-lcd.jpg
 
Hakuna simu ya China inayosupport Google, simu zote si Xiaomi tu Hata ikiwa Huawei, honor na wengineo hazi support.

Ila zipo namna za kusupport google ukiwa nayo huku, mfano unaweza ukapewa option ya kuflash International rom ama uka install hizo google apps kupitia means nyengine.
boss unaweza niwekea global Rom kwenye Redmi note 11 4g chinese Rom ???
 
Nimefanikiwa ku update MIUI 13 kwenye Redmi Note 10 Pro.
Kati ya matokeo ya hovyo niliyokutana nayo ni kama ifuatavyo
1. Nikigusa sehemu ya finger print simu ina reboot. Imebid ni disable finger print.
2. Niki customize Font style upande wa sms hazibadili zinabaki vile vile....
Ushauri kwa waliokuwa wakiwaza ku update kwenda MIUI 13 wanaweza kutana na matokeo ya hivi.
 
Mimi tangu asubuhi najaribu kwa hiyo unanishauri niache tu?

Screenshot_2022-05-19-22-11-37-903_com.android.updater.jpg
 
Back
Top Bottom