Chinese ROM haina Playstore Wala Google services lakini ina Xiaomi GetApps na Mi Browser ambazo zitakuwezesha kuipata hiyo PlayStore na all other Google services.
Xiaomi GetApps ni app store ya Xiaomi ambayo unaweza kudownload apps bila kuwa na account yaani hata kama hauja-sign in wewe unapakua tu apps
NB: Kwa kutumia Xiaomi GetApps na Mi Browser ndio utaweza kupata Google services zote ikiwemo PlayStore. Kwa hiyo kwenye Chinese ROM Google services ikiwemo PlayStore unazipata lakini yakupasa uzidownload wewe mwenyewe
Xiaomi sio Huawei, haijawahi kuzuiwa kutumia Google.