The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Mimi toka toleo lipya limetoka sija update kabsa..naonea huruma gb zanguNimefanikiwa ku update MIUI 13 kwenye Redmi Note 10 Pro.
Kati ya matokeo ya hovyo niliyokutana nayo ni kama ifuatavyo
1. Nikigusa sehemu ya finger print simu ina reboot. Imebid ni disable finger print.
2. Niki customize Font style upande wa sms hazibadili zinabaki vile vile....
Ushauri kwa waliokuwa wakiwaza ku update kwenda MIUI 13 wanaweza kutana na matokeo ya hivi.
Hivi kwa nini huwa mnapenda kuchokonoa hizo MIUI na kuziupdate?Nimefanikiwa ku update MIUI 13 kwenye Redmi Note 10 Pro.
Kati ya matokeo ya hovyo niliyokutana nayo ni kama ifuatavyo
1. Nikigusa sehemu ya finger print simu ina reboot. Imebid ni disable finger print.
2. Niki customize Font style upande wa sms hazibadili zinabaki vile vile....
Ushauri kwa waliokuwa wakiwaza ku update kwenda MIUI 13 wanaweza kutana na matokeo ya hivi.
Shida iliyopo ni kwamba inakupromt mara kwa mara uifanyie update....Hivi kwa nini huwa mnapenda kuchokonoa hizo MIUI na kuziupdate?
Licha ya watumiaji wengi wa simu kulalamika kuwa wanapata matatizo wanapoupdate software za simu zao ila bado watu wanaendelea kuupdate
Sitakuja kuupdate software yangu mimi, ikipitwa sana na wakati nanunua simu nyingine. Tabia ya kuupdate software ni hatari kwa simu yako[emoji879][emoji879]
Hivi kwa nini huwa mnapenda kuchokonoa hizo MIUI na kuziupdate?
Licha ya watumiaji wengi wa simu kulalamika kuwa wanapata matatizo wanapoupdate software za simu zao ila bado watu wanaendelea kuupdate
Sitakuja kuupdate software yangu mimi, ikipitwa sana na wakati nanunua simu nyingine. Tabia ya kuupdate software ni hatari kwa simu yako[emoji879][emoji879]
Watu wanaupdate hadi One UI ya Samsung wanaishia kulalamika tuInategemea na simu, ziko brand zina get better with new updates
Watu wanaupdate hadi One UI ya Samsung wanaishia kulalamika tu
Sijajua kuhusu iPhone na Google Pixel
IoZinasupport vizuri tu hapa natumia Xiaomi Redmi 9A ipo vizuri tu kwa apps zote za play store
Chinese ROM haina Playstore Wala Google services lakini ina Xiaomi GetApps na Mi Browser ambazo zitakuwezesha kuipata hiyo PlayStore na all other Google services.Hio Ni global
Io
Mkuu kwenye xiaomi chinese nawezaje kuondoa zile app za zenye maandishi ya kichina ?Chinese ROM haina Playstore Wala Google services lakini ina Xiaomi GetApps na Mi Browser ambazo zitakuwezesha kuipata hiyo PlayStore na all other Google services.
Xiaomi GetApps ni app store ya Xiaomi ambayo unaweza kudownload apps bila kuwa na account yaani hata kama hauja-sign in wewe unapakua tu apps
NB: Kwa kutumia Xiaomi GetApps na Mi Browser ndio utaweza kupata Google services zote ikiwemo PlayStore. Kwa hiyo kwenye Chinese ROM Google services ikiwemo PlayStore unazipata lakini yakupasa uzidownload wewe mwenyewe
Xiaomi sio Huawei, haijawahi kuzuiwa kutumia Google.
Mkuu kwenye xiaomi chinese nawezaje kuondoa zile app za zenye maandishi ya kichina ?