Naomba kufahamu juu ya mafundisho ya Rui na imani ya Kibahai

Naomba kufahamu juu ya mafundisho ya Rui na imani ya Kibahai

Dr Restart

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
4,949
Reaction score
24,046
Wasalaam Wakuu.

Naomba kufahamu mwenye uelewa juu ya mafundisho ya Rui na imani ya Kibahai.

Nimepitia mtandaoni, nimeambulia kitu. Ila bado sijashiba na kuielewa barabara juu ya imani hii mpya kuisikia.

Natanguliza Shukrani.

Cc Mshana Jr
 
Kuna jamaa mmoja sio mbahai ila yuko karibu nao, yuko huko instagram
 
Kuna mzee wangu mmoja yumo humo niliwahi kwenda naye hapo upanga, kifupi sijui lolote kuhusu hiyo imani na sijawasiliana naye muda kujua kama bado anaendelea au karudi kwenye ukatoliki, imani ngumu hizi.
 
Wasalaam Wakuu.

Naomba kufahamu mwenye uelewa juu ya mafundisho ya Rui na imani ya Kibahai.

Nimepitia mtandaoni, nimeambulia kitu. Ila bado sijashiba na kuielewa barabara juu ya imani hii mpya kuisikia.

Natanguliza Shukrani.

Cc Mshana Jr
Mimi hiyo haijawahi kunivutia hivyo sijaigusa kabisa
 
Wa bahai ni imani inayo fata mafundisho ya mtume bahaulah, imetokea mashark ya kati ila cha ajabu wafuasi wake wengi ni wamarekani! Kiufupi kuna taratbu baadh za kikristo na kuna za kiislamu yani ni mixer ya hizi imani mbili, ibada zao wanazifanya kwa mtindo wa group discussion wanajigawa kimakundi wana jadili machapisho yao ambayo sijui yanahusu nini zaidi ila mengi ni virtues. Walio soma ruaha high school iringa wataongezea coz ile ni shule yao though inapokea watu wa dini zote! Na ukifa hauzikwi unachomwa moto yani mi naonaga ni dini iliyo mix imani zote za kikristo, kiislamu na kibudha. Wengine watajazia! Na pia wana mfungo wao kama ramadhan na kwaresma ila wao wana funga chakula cha mchana tu milo mingine wana bonda kama kawa
 
Back
Top Bottom