Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Kuna jamaa mmoja sio mbahai ila yuko karibu nao, yuko huko instagramWasalaam Wakuu.
Naomba kufahamu mwenye uelewa juu ya mafundisho ya Rui na imani ya Kibahai.
Nimepitia mtandaoni, nimeambulia kitu. Ila bado sijashiba na kuielewa barabara juu ya imani hii mpya kuisikia.
Natanguliza Shukrani.
Cc Mshana Jr
Mimi hiyo haijawahi kunivutia hivyo sijaigusa kabisaWasalaam Wakuu.