Naomba kufahamu kazi ya Shanga na Cheni za kiunoni

Ewaaa! Nilikumiss sana nikajua ungepita kimya,

Hahaha chuma kimesimama
Hahahaaaaaaa

Tatizo la jf ya sasa ni miongoni mwetu ku-fake mambo

Ukihadhia experience yako juu ya jambo fulani watu watakuja kuharibu kabisa mada husika kwa kuingiza mambo ambayo mwanzilishi wa mada haikuwa lengo lake

Tunaishia kuwa wasomaji na kusepa
 
Woyooooooooo, yaani nimecheka kwa nguvu uzuri watu hamna,

Daaah kwa hiyo jimama likawa linalia kwa raha ya kuchezewa shanga na kusukumizwa mtwangio, dadekiii

Uzuri kwenye mambo hayo kaka yangu hujawahi niangusha, nimependa pia somo lilivyokukaa na ukalifanyia kazi bila makosa,

CreditAnalyst ujumbe umeuona huo faida ya shanga.
 
Ukweli kabisa, kuna watu sijui misongo ya mawazo hawapendi kabisa kuona wenzao wakifurahi wanataka wote tuwe na mahasira hasira,

Ila salute kwako, napenda sana vile ulivyo real pia ulivyozifaidi zile kitu.
 
Je, hizi shanga na chain za kiunoni kazi Yake Nini hasa..au Ni urembo TU..

Je, zikivaliwa huwa zinahamasisha Jinsia me?..
Kuna swali na maswali. Subiri wanawake wakijibu ila mimi kama mwanamke avai shanga naona kama nipo na mtu wa kawaida sana. Vaa shanga achana na cheni
 
kumbe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…