Naomba kufahamu kazi ya Shanga na Cheni za kiunoni

Naomba kufahamu kazi ya Shanga na Cheni za kiunoni

Kiuno cha mwanamke bila shanga ama cheni hakivutii.
Mwanamke kiuno chake kikiwa hakina shanga ama cheni siwezi kukishika, maana huwa nahisi kama nimeshika chupa ya chai [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Chupa ya chai, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakubaliana na wewe

Vijana wana tatizo la ujuaji mwingi pia. Jambo kama hulijui uliza ujuzwe, au kama kuna wanaofahamu wanaelekeza kaa kwanza kimya ujifunze

Sasa ona katika thread hii kwa mfano, muanzisha mada kauliza swali zuri tu lakini anakuja mtu anakuvamia wewe Culture Me na maneno chungu nzima mara ooh wewe sijui unakoboa , sijui unasaga ~ unabaki unajiuliza hii inahusianaje na mada inayotakiwa kujadiliwa?

Matokeo yake hata kama ulikuwa na uzoefu wako wataka kushare zaidi unaamua kukatisha usome tu michango ya wengineo
Hii hata mimi hua naamua kukaa kimya nakua mpenzi msomaji tu, maana ukisema utoe shuhuda yako jitu linakuja lilipotoka, wewe jinsia gani, wewe hivi, wewe vile, wabongo ndio tulivyo lakini.
 
Ngoja nitoe ushuhuda!
Kazi kubwa ya shanga ama cheni ya kiunoni ni kusisimua dhakari ya mwanaume, kila mwanaume anakuwa na kitu kinachomsisimua katika mwili wa mwanamke aidha natural ama artificial na kitu hicho hutumika wakati wa kujamiiana aidha akikiangalia, kukishika ama kuupitisha ama kupiga piga dhakari juu yake basi hurudisha hisia na kumfanya nguvu za dhakari kurudi kama mwanzo hata kama wakati huo itakuwa amepiga zaidi ya magoli matatu! Raha ya shanga ama cheni ni pale unaichomoa dhakari wakati unahisi imeshaanza kuishiwa nguvu na kuipiga piga juu ya kiungo cha kike kilichopitiwa na shanga, wakati huo mkono unasugua pua ya mwanamke!![emoji2954][emoji2954][emoji2954]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Pua = clitoris
Don Don...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umenifanya mpaka nimesisimka aisee
 
Hii hata mimi hua naamua kukaa kimya nakua mpenzi msomaji tu, maana ukisema utoe shuhuda yako jitu linakuja lilipotoka, wewe jinsia gani, wewe hivi, wewe vile, wabongo ndio tulivyo lakini.
Tuna matatizo ya kujifanya kila kitu tunajua

Halafu kuna watu wao humu ni kama mungu vile , akisoma jambo lazima ahukumu as if yeye ameshaenda mbinguni vile ilhali ni waovu wakubwa, ovyo kabisa
 
vingi sana
Funguka mjumbe!! Niongezee maarifa, upo na Ngariba hapa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Back
Top Bottom