Naomba kufahamu kazi ya Shanga na Cheni za kiunoni

Chupa ya chai, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii hata mimi hua naamua kukaa kimya nakua mpenzi msomaji tu, maana ukisema utoe shuhuda yako jitu linakuja lilipotoka, wewe jinsia gani, wewe hivi, wewe vile, wabongo ndio tulivyo lakini.
 
Don Don...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umenifanya mpaka nimesisimka aisee
 
Hii hata mimi hua naamua kukaa kimya nakua mpenzi msomaji tu, maana ukisema utoe shuhuda yako jitu linakuja lilipotoka, wewe jinsia gani, wewe hivi, wewe vile, wabongo ndio tulivyo lakini.
Tuna matatizo ya kujifanya kila kitu tunajua

Halafu kuna watu wao humu ni kama mungu vile , akisoma jambo lazima ahukumu as if yeye ameshaenda mbinguni vile ilhali ni waovu wakubwa, ovyo kabisa
 
vingi sana
Funguka mjumbe!! Niongezee maarifa, upo na Ngariba hapa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…