ONTARIO
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 1,884
- 17,096
Acha uongo kijana,unapewa story za kusadikika,muingize chaka mwenzako,huyo Mdada anaitwa Mary kapwani na nilicomfuse amemaliza 2012 sio 2013,..kama una graduate wa mwaka huo muulizie,hio kupata kazi ni 20% but sana sana ni chaki,na cku hizi huo utaratibu wa kubakishwa umeshaisha,wanatoa tangazo mnaomba,best student wa UDSM yote 2010 anaitwa Salome amemaliza computer science but mpaka walipotoa tangazo la kazi ndio aliomba ndio wakamuajiri,hakuna tena kushikwa mkono kubakishwa siku hizi,
Hivi we dogo unajua maana ya kubakizwa?? Wapi uliona mtu anapata ajira bila nafasi za kazi kutangazwa na bila kufanya usaili, a catastrophe for you- u ain't even knowing some points of you contention. Grow big bloke.
Hebu soma kwanza comment yangu, then scroll back to your prior post, afu urudi tena kujibu hoja.