Naomba kufahamu kuhusu Bachelor of Science in Chemistry

Naomba kufahamu kuhusu Bachelor of Science in Chemistry

mkuu hujaona kozi nsuri ispokua horticulture??mkuu hiyo kozi ni magumashi!! Karibu sua tutakua jiran!!BORA UNGECHAGUA HATA WILDLIFE!! BUT KARIBU SAANA MIMI NIPO HAPO NACHUKUA VETERINARY MEDICINE

Kwanini unamdanganya mwenzako? You are a vet???..with this this poor comment it gives a proof that u are not!!
 
Kwanini unamdanganya mwenzako? You are a vet???..with this this poor comment it gives a proof that u are not!!

yah u ar the one who deserve to b veterinarian!!!and u ar the one wh have exllnt coment!! maana huezi kumjaji mtu katika taaluma flan kama wewe huijui taaluma hiyo by the way am still young !!sory

mkuu uliechagua hortculture kilalaher !!kasome ilimradi tu umeridhika nayo na unaipenda!! karibu sana SUA
 
Back
Top Bottom