Ugali mgumuAsubui tule nini, Mchana tule nini, Na usiku tule nini?
Uzi ufungwe, watu hatufanyi mazoezi. Kijana mdogo tumbo kubwa na wanaona sifaJambo moja linachangia katika hoja hii ni kwamba, zamani tulikua na maisha ya kuushughulisha mwili zaidi tofauti na sasa. Kwamba, zamani hakukuwa na vyombo vingi vya usafiri kama Bodaboda na magari ya kwendea kazini, nyumba za ibada au Shughuli zingine za kijamii.
Hali hiyo ilitufanya kutembea umbali mrefu au kuendesha baiskeli umbali mrefu, tofauti na sasa watu wengi wanaishi maisha Bwete.
Kwenda sokoni unapanda bodaboda, kanisani bodaboda, kazini boda boda au gari.
Huo ni mfano halisi mmojawapo, lakini pia zamani shughuli za kilimo cha mikono zilitufanya kuushughulisha mwili na ndomana hali ya magonjwa haya yasiyoambukizwa ni kubwa kwa mjini kulinganisha na kijijini.
6. MoyoYani kwa miaka hii kuepuka madubwana haya matano ni mungu tu
1. Figo
2. Ini
3. Kisukari
4. Kansa
5. Stroke/hypertension
Basi uko salamaMimi kwa week natembea over 50km
Mimi kwa week natembea over 50kmHatutembei! Ni mwendo wa bodaboda
Kweli boisBasi uko salama
Mimi 100kmMimi kwa week natembea over 50km
HuweziMimi 100km
Ukiwa umekaa, na kiyoyozi juu kama upo mafinga!Mimi 100km
Husichokijua ni kwamba,sahivi mnakula na kunywa vitu ambavyo ni vya viwandani kwa asilimia kubwa....Habari ndugu zangu,Naomba kujuzwa kwa mwenye kufahamu kuhusu haya magonjwa yasiyoambukizwa namna yanavyoenea kwa kasi,Miaka ya nyuma chakula chetu kikuu kilikuwa Wali na Ugali lakini kasi ya magonjwa haya haikuwa kubwa kama ilivyo leo, Lakini leo hii tunaambiwa moja ya sababu ya magonjwa kama presha ni kula ugali na Wali kwa wingi, Sasa naomba kujua tunatakiwa kula nini ili kuepuka madhara ya magonjwa haya? Asubui tule nini, Mchana tule nini, Na usiku tule nini? Karibuni.
Kwa mahesabu : 50km in 7days = 7km/day.Mimi kwa week natembea over 50km
Wewe mbona sijakubishia ulivyonifunga kamba ya 50kmHuwezi
Ukifanya mahesabu, huyu bado hayuko salama.Basi uko salama
Kwa lugha nyepesi, sema wanajilundikia makemikali mwilini.Husichokijua ni kwamba,sahivi mnakula na kunywa vitu ambavyo ni vya viwandani kwa asilimia kubwa....
Sio presha tu bali pia inakuzeesha haraka sanaImagine kitu kina (expiry date) miaka mitatu ijayo. Unajua kemikali (dawa) gani imewekwa ili kisiharibike mapema
Imagine hiyo kemikali inaingia mwilini mwako, kwanini husipate presha...
Au wanawaita wamekuwa eti ni wakoloni sana i.e. wasiopenda mabadiliko.Wazee wenu walikula vitu vya asili, siyo vya viwandani kwa asilimia kubwa....leo mnawaona washamba,mnawaita (zama za mawe).
Mtateseka sana