Nifungulie pm nikuonyesheWewe mbona sijakubishia ulivyonifunga kamba ya 50km
Sawa boisKwa mahesabu : 50km in 7days = 7km/day.
Km 7 kwa siku; inamaanisha ukitoka hadi kurudi mizunguko yako yote.
Tukichukulia unakuwa active kwa masaa 12; manake kwa masaa 12 umetembea km7 tu. Kwa lisaa limoja unatembea km 0.58(Roughly unatembea Nusu km)
Kwa wastani mtu mzima (adult)anatakiwa atembee (Kwa mazoezi ya kiafya) walau Km 6-7 kujiepusha na magonjwa yasiyoambukizwa.
Mkuu wewe bado kaza buti.
Kumbe nimefunga?Nifungulie pm nikuonyeshe
UsinichokozeKumbe nimefunga?
Wewe huyooo😞😞Mimi 100km