Naomba kufahamu kuhusu makundi ya muziki ya Wenge BCBG na Wenge Musica

Naomba kufahamu kuhusu makundi ya muziki ya Wenge BCBG na Wenge Musica

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Mimi huwa nasikiliza miziki ya Kicongo lakini sio mjuvi sana wa kudadavua mziki huo.

Sasa nimekuwa nikipata mkanganyiko kuhusu Wenge BCBG na Wenge Musica.

Naombeni mnijuze, haya makundi yana uhusiano? Na je waliwahi kufanya kazi pamoja? Lipi ni kundi lenye mafanikio zaidi?

Karibuni mtiririke na kuserereka wale wapenzi wa muziki wa kicongo.
Cc: GENTAMYCINE
 
Back
Top Bottom