Teko Modise JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 2,331 Reaction score 7,733 May 18, 2023 #1 Mimi huwa nasikiliza miziki ya Kicongo lakini sio mjuvi sana wa kudadavua mziki huo. Sasa nimekuwa nikipata mkanganyiko kuhusu Wenge BCBG na Wenge Musica. Naombeni mnijuze, haya makundi yana uhusiano? Na je waliwahi kufanya kazi pamoja? Lipi ni kundi lenye mafanikio zaidi? Karibuni mtiririke na kuserereka wale wapenzi wa muziki wa kicongo. Cc: GENTAMYCINE
Mimi huwa nasikiliza miziki ya Kicongo lakini sio mjuvi sana wa kudadavua mziki huo. Sasa nimekuwa nikipata mkanganyiko kuhusu Wenge BCBG na Wenge Musica. Naombeni mnijuze, haya makundi yana uhusiano? Na je waliwahi kufanya kazi pamoja? Lipi ni kundi lenye mafanikio zaidi? Karibuni mtiririke na kuserereka wale wapenzi wa muziki wa kicongo. Cc: GENTAMYCINE
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 3,447 Reaction score 11,274 May 19, 2023 #2 MINOCYCLINE
M MINOCYCLINE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 8,018 Reaction score 16,802 May 19, 2023 #3 K11 said: MINOCYCLINE Click to expand... Sijui lolote kuhusu Muziki wa Congo DR ila Swali lingekuwa ni la Kutia Mademu ningelijibu upesi kwani huko ndiko Nilikokubobea na napenda mno Kutia.
K11 said: MINOCYCLINE Click to expand... Sijui lolote kuhusu Muziki wa Congo DR ila Swali lingekuwa ni la Kutia Mademu ningelijibu upesi kwani huko ndiko Nilikokubobea na napenda mno Kutia.