NaagizaUnaagiza au unanunua yard
V6 iyo. Hatari.Nimetumia ile ya cc 2600. Gari zuri.
Jitahidi uangalie za miaka ya sasa 2015 mpaka 2020.Habari za majukumu wakuu
Kama kichwa kinavyojieleza nahitaji kununua mercedes benz c class (c180/c200) ya (2000-2005) hizi ndonamudu ushuru wake naomba kufahamu kuhusu uimara kwa ujumla na upatikanaji wake wa spare...gharama za huduma
Natanguliza shukrani
Yes V6, C240.V6 iyo. Hatari.
Vipi uimara wake na gharama za speaNimetumia ile ya cc 2600. Gari zuri.
Uchumi kaka kodi kidogo nafuu naangalia yenye ambayo haijavuka km 80000Gari nzuri, sema kitambo miaka 20+ tegemea marekebisho makubwa.
Jitahidi uangalie za miaka ya sasa 2015 mpaka 2020.msuli wangu ndo uwezo wake apo
Ni Benz mkuu, ni imara sana na gharama za spea zipo juu kiasi.Vipi uimara wake na gharama za spea
16mBajeti yako ni kiasi gani?
Daah kodi ataiweza hizo kwenye kikotoo cha TRA Benz za karibuni ni Luxury car atakutana na kodi kubwa sana..Jitahidi uangalie za miaka ya sasa 2015 mpaka 2020.
Swalu la ziada mkuu mbona izi crown za 2005 bado zinaingizwa au ndo toyotaNunua Benz ya kuanzia 2010 mpaka 2013 naona kodi hazijachangamka sana ni bora ununue gari bei kubwa harafu kodi ulipie nafuu ila usinunue hiyo ya 2005 itakua chuma chakavu soon maana upo muda uratakiwa ubadili miguu yote sijui shocks zake na baadhi ya seal bei utakayokuja kuambiwa kwa Tanzania utaiacha gari garage ingawaje Benz ukiipata hizi za karibuni ndio gari kitu kufa ni kama Punda sio leo wala kesho na ukiweka ni hivyo hivyo pia comfort ya kwenye Mercedes-Benz hauwezi kuipata kwenye aina nyingi za gari wanayo wao tu..
SA na Japani wapo tofauti kwenye uuzaji magari wao gari ya mwaka 2005,6,7 labda Land Rover TDI 300, Land Cruiser ndio kidogo watasimamia bei ila tofauti na hapo utaokota kwa bei ndogo maana kwa SA ni gari chakavu sana ila Japan wao wanaangalia demand sio mwaka wa gari ndio maana IST za mwaka huo tu zipo bei juu mpaka inafika Tanzania wakati SA kwa mwaka huo labda ununue 4 by 4 car sio hizo saloon car..Swalu la ziada mkuu mbona izi crown za 2005 bado zinaingizwa au ndo toyota