Naomba kufahamu kuhusu mishahara ya walimu

Naomba kufahamu kuhusu mishahara ya walimu

gachuru one

Senior Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
119
Reaction score
52
Jaman naomba kufahamishwa kwa wale ambao wapo kwenye sekta ya elimu (walimu)kwa sasa mishara kwa level ya cheti, stashada na shahada ni kiasi gani kwa maana mm pia najiaanda kuwa mwalim.
 
Now days mixhahara ya walim ni minono cheti sh 757500, Diproma 996500 na digree sh 1385000 zote hizo ndo zakuanzia nawasilixha!

By mwl.
 
Wew umamalza ngaz gan ya elimu katka taaluma ya ualimu ili nkupe rank ya mshahara wako!
 
wa2 wanaandika u2mbo then wanajiona wajanjaaaaaaaaaa,,,,,,,,,,,,,,, umeeleweka janja
 
Mshahara wa mwl unakuhusu nn wakati ww co mwl? huko utakako soma utaambiwa tu,kuwa mpole!
 
Jaman naomba kufahamishwa kwa wale ambao wapo kwenye sekta ya elimu (walimu)kwa sasa mishara kwa level ya cheti, stashada na shahada ni kiasi gani kwa maana mm pia najiaanda kuwa mwalim.

Nenda kauliza wizara ya Elimu ndio wenye majibu , acha umbea wako kwanini unataka kujua mishahara ambayo haifanyii kazi . Ingia muziki uucheze mwenyewe.
 
Cheti=Tsh 30,000/=
Diploma=55,000/=
Degree=84,400/=
hiyo ndo mishahara ya walimu wa watoto wetu.

Ndo maana hawaishi lawama kwa serikali yetu ila bado inawatumikisha kwe kuandikisha wapiga kura na sensa.
 
Back
Top Bottom