gachuru one
Senior Member
- Oct 31, 2014
- 119
- 52
Jaman naomba kufahamishwa kwa wale ambao wapo kwenye sekta ya elimu (walimu)kwa sasa mishara kwa level ya cheti, stashada na shahada ni kiasi gani kwa maana mm pia najiaanda kuwa mwalim.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman naomba kufahamishwa kwa wale ambao wapo kwenye sekta ya elimu (walimu)kwa sasa mishara kwa level ya cheti, stashada na shahada ni kiasi gani kwa maana mm pia najiaanda kuwa mwalim.
Utamu wa ngoma uicheze
Now days mixhahara ya walim ni minono cheti sh 757500, diproma 996500 na digree sh 1385000 zote hizo ndo zakuanzia nawasilixha! By mwl
now days mixhahara ya walim ni minono cheti sh 757500, diproma 996500 na digree sh 1385000 zote hizo ndo zakuanzia nawasilixha! By mwl
hizo pesa ni za zimbabwe au Tanzania?
Jaman naomba kufahamishwa kwa wale ambao wapo kwenye sekta ya elimu (walimu)kwa sasa mishara kwa level ya cheti, stashada na shahada ni kiasi gani kwa maana mm pia najiaanda kuwa mwalim.
kama hujui kaa kimya