20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Habari wanajamvi humu,
Kuna hili swali nimekuwa nikijiuliza sana.
Labda niseme kuwa ninavyoelewa kuwa ushirikina na uchawi hutumia mitishamba na tech zao katika kuharibu na kuroga watu.
Pia waganga hutumia miti na vikolombwezo vingine katika kutibu na kurejesha hali ya mtu.
Hivi mtu akipata tatizo lets say kuwa kaumwa tumbo na ugonjwa hauonekani, au anasikia vitu vinamtembea mwilini, lakini mtu wa karibu ambae jirani au yeyote yule akamwambia ogea magadi au majani flani kwa siku kadhaa, hapi atakuwa amefanya shiriki? Dini zinasemaje juu ya jambo kama hili?
Kuna vijiswali vingi najiulizaga hapa, mshana jr, Eiyer, Mkuu waa chuo kahtaan yeyote mwenye details hebu shusha elimu hapa.