Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Kulamba omo ndio kufanya nini?
Au ndio matambiko ya kigalatia hayo?
Kiongozi my back side!
Teh teh teh teh.
Nyie wasanii mtakuja ingia kwenye adhabu mbaya sana Yaumu lkiyama.
Mimi na ndugu yangu kuitana kiongozi unakereka nini?
Nyie hata mkitutusi namna gani kamwe haturudishi tusi kwa tusi kwani Mungu wangu na Mungu wako ambae ni Yesu Kristo ametuagiza tuwapende tu...
Barikiwa sana ....!!