Nimeuliza Mungu katika hiyo Hosea ni nani?, yupi?He has already said that He is the Lord, and we know that God is the Lord of Lords, in contrast, Allah said there is NO GOD. Period.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeuliza Mungu katika hiyo Hosea ni nani?, yupi?He has already said that He is the Lord, and we know that God is the Lord of Lords, in contrast, Allah said there is NO GOD. Period.
Yesu ni MunguNimeuliza Mungu katika hiyo Hosea ni nani?, yupi?
Bado hujajibu swali.Yesu ni Mungu
The person is possessed with muhammadic jinns, worth no a minute of mine.Vp? mkuu bona @khaatan hadi sasa hivi hujamjibu.
Why are you scared of Revelation 19:15-16?Bado umeshindwa kujibu swali Ishmael.
Kama huna jibu, itisha 2013, pia ile kiongozi inayokata majani kwa buldoza zikusaidie.
Jesus, according to Paulo, ndio the Lord God Lakini Jesus menyewe inasema " I am ascending to my God". Au hiyo aya imekosewa?
Bado hujajibu swali.
Mungu gani anazungumziwa katika Hosea 13:4?
Kama hujui jibu, Ita Eiyer ikusaidie.
Ishmael RESPECT FOOLS to avoid noises!Another name for God of Islam is AL-BAETH. The Resurrection. Did Jesus say in the Gospel, I am the Resurrection? Yes. In the Gospel of John 11;25-26 Jesus says, I am the Resurrection and the life. He who believes in Me will live, even though he dies; and who-ever lives and believes in Me will never die. When Muslims God Allah is called AL-BEATH which means resurrection, then it is clearly proven to all of us that Jesus Himself is Allah as Jesus says, I am the Resurrection. In Arabic I am the AL-BEATH. There are not a single Muslim in this Earth can deny that. If any Muslim denies this truth then he/she denies/reject Allah as well because they deny the 99 names of Allah.[/FONT]
Teh teh teh!
Kumbe mkuu mpaka leo hii hujanizoea tu eti?
Mi nataka Kuuchangamsha Huu uzi wako manake Umesinzia mno.
Ndio ukaona nawa Tag Hawa Waefeso waje hapa niwagawie Dozi wakalale!
Km unaogopa Basi Twende utakavyo wewe.
Kabla Ya kuuliza hilo swali hapo Juu lzm Kwanza Utambue MAANA ya SHIRK ni Nini.
SHIRK maana yake Ni Kumshirikisha Mungu Na Viumbe vyake au Kitu chochote.
Mfano hai Ni Hawa Wagalatia!
Wao Tunawaita MUSHRIKUUN kwa Sababu Wanamshirikisha Mungu na Viumbe wake!
Lkn Wewe Kula Dawa ya Mitishamba Ukiwa na Lengo la Kupata Afya hapo Unakuwa Hujafanya Shirki Yyt lkn Ukiamini kuwa Mganga yule Aliyekupa Hio Mitishamba Ana Nguvu za Kukudhuru wewe basi Hapo Tayari na Wewe unakuwa Umeingia Ktk Kundi la WASHIRIKINA.
Na Hio Ni Laana Kubwa mno!
Habari wanajamvi humu,
Kuna hili swali nimekuwa nikijiuliza sana.
Labda niseme kuwa ninavyoelewa kuwa ushirikina na uchawi hutumia mitishamba na tech zao katika kuharibu na kuroga watu.
Pia waganga hutumia miti na vikolombwezo vingine katika kutibu na kurejesha hali ya mtu.
Hivi mtu akipata tatizo lets say kuwa kaumwa tumbo na ugonjwa hauonekani, au anasikia vitu vinamtembea mwilini, lakini mtu wa karibu ambae jirani au yeyote yule akamwambia ogea magadi au majani flani kwa siku kadhaa, hapi atakuwa amefanya shiriki? Dini zinasemaje juu ya jambo kama hili?
Kuna vijiswali vingi najiulizaga hapa, mshana jr, Eiyer, Mkuu waa chuo kahtaan yeyote mwenye details hebu shusha elimu hapa.
Mimi nadhani uchawi ni kutokuwa na maelezo juu ya jambo fulani. Mfano kama hujui chanzo cha ugonjwa au hufahamu tukio limetokeaje utaona ni uchawi. Lakini pia kwa upande mwingine uchawi ni kitu cha kawaida. Mfano mbona wakristu wanaamini kuwa Yesu alikufa ili waokolewe? Hata katika uchawi kuna kuhusisha uuaji wa mnyama au mtu kwa jambo fulani. I think hakuna Mungu wa wachawi like evil kama watu wanavyoona. Uchawi is nothing but the ability of man to use his Subconscious Mind kuumba or to make Thought in energy form to manifest. Kuna vitu watu wengi hawajui kuhusu uchawi. Like Medicines na benifits zake. Sema wabongo wanautumia vibaya bila kujua kiundani. Tunapaswa kuacha kuhukumu uchawi bali kuhukumu utumiaji mbaya wake.
Mkuu, hebu weka nyama zaid tutoe tongo tongo mkuu, it seems unafahamu vema hizi habari.