Ushubwada kiasili ni neno ambalo ni tusi lenye maana ya Utoko,ama maji maji machafu yatokayo kwenye uke wa mwanamke na hutoa harufu...so ushubwada ni humaanisha unaongea uchafu...[emoji1787][emoji1787]
kuna baadhi ya maneno yananikumbusha mbali nikisia mfano bandidu hili linanikumbusha wimbo wa mtoto Iddi wa juma nature katika verse yake moja aliimba hivii Iddi ni mtoto mwenye sura ya KIBANDIDU iddi ni mtoto wa kwanza wa mzee hamidu
Sio kivile hii inanikumbusha katika nyimbo ya daimond inaitwa nalia na mengi ambapo diamond anaimba hivii mi mkwanja nikamwaga mamaa japo SIO KIVILE ila kwangu ya maana
Kivuruge hii inanikumbusha wimbo wa nandy unaitwa kivuruge
macho kuona hii inanikumbusha wimbo wa daz baba unaitwa namba nane ambapo daz baba anaimba MACHO KUONA wakimuona hawatasita kumfata
harakati hii inanikumbusha wimbo wa bye bye wa joh makin ambapo anaimba HARAKATI ni magirini nipo kwenye nchi ya mungu hawafati mbele wamemuweka kaisari mtaaani moto jela kuna wapindisha hawanyooki