Huyu ndio anaitaka talaka, kama alifanya jambo na mke hajajua. Kwanini anataka kumwambia?Mtagawana tu mali na kuwapa shida watoto
Kama hakuna ulazima wa kumwambia usimwambie, we mwanaume umepewa koromeo litunze tu
Si ndo hapo maana yake amemchoka mkewe 😀😀😀Huyu ndio anaitaka talaka, kama alifanya jambo na mke hajajua. Kwanini anataka kumwambia?
Duuh Amehlo una kiherehere sana🤣Hawa wanandoa zao ngoja nikuitie wakushauri
Mshana Jr kabanga Shimba ya Buyenze Ngalikihinja Gily Glenn Extrovert National Anthem Kelsea Mamndenyi proton pump Equation x
Mwanaume mwenzenu ndio mwana harakatiUlioa mwanaharakati?
Sijui chochote mama😀😀😀😀hebu msaidie kwanza alafu kiherehere changu tutakijadili badae
Sema tu umenimiss😄😀😀😀😀hebu msaidie kwanza alafu kiherehere changu tutakijadili badae
😀😀nikikumis si najua pa kukupata me nimekuita utoe ushauriSema tu umenimiss😄
Madhara yapo mengi sana niko kwenye mahusiano mwaka wa kumi huu. Unafikiri itakuwa rahisi kuachana? ni ngumu mno😀Hawa wanandoa zao ngoja nikuitie wakushauri
Mshana Jr kabanga Shimba ya Buyenze Ngalikihinja Gily Glenn Extrovert National Anthem Kelsea Mamndenyi proton pump Equation x
Aaah wewe atiii???😀😀nikikumis si najua pa kukupata me nimekuita utoe ushauri
Sema nini, mchango wa kibabe sana mtu wangu🤣Watoto ndio hupata shida and yes itawatesa nyote kisaikolojia na hasa mwanaume hua rahisi sana kukengeuka,
Kama ni lazima sana kumwambia basi mtoe out, nendeni sehemu for a weekend just the two of you, spend a good time together, mkumbushe mlivyokutana, ups and downs, msifie alivyo mjasiri, mueleweshe bila yeye usingekua hapo, mjaze masifa hadi ajione Queen wa Dunia, kisha mwambie jambo lako kwa upole na hata akireact jaribu kua cool huku ukimplease acalm down ni changamoto, akilegea tu kula mate kama Fantana alivyokua anakula domo la Mondi, piga show ya kibabe hadi asiweze kutembea for 30 mnts, be romantic,
Imeisha hiyoooooooooooo
asante mkuu wazo jema hili ill try my level best..Watoto ndio hupata shida and yes itawatesa nyote kisaikolojia na hasa mwanaume hua rahisi sana kukengeuka,