beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
Huyu hampendiKama unampenda ucwaze hata hiyo talaka kabisa
Kama humpendi mwambie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hampendiKama unampenda ucwaze hata hiyo talaka kabisa
Kama humpendi mwambie
Yaani hukupata hatia kumcheat unakuja kupata hatia sasa? Acha kutupanga mkuu wacuba tushaelewaChangamoto niliyonayo ni kwamba nahisi hatia ndani mno na njia pekee ya kuwa na amani ni mpaka nimwambie mke wangu huu ukweli sasa kadri nnavyoendelea kukaa nalo nakosa amani najikuta nimebeba jambo zito mno na sijui sababu nini maana kuna mengi sijamwambia na yamebaki kuwa siri ila hili la mtoto nje ya ndoa nashindwa kulibeba linanisumbua sana ila sasa nikimwambia tu kuna hatari nyingi zinaweza kutokea nafikiri japo sikuwahi kupitia such experience ya kupeana talaka
Labda demu wa kizungu...hizi kuku zetu za kienyeji utajua hujui.Watoto ndio hupata shida and yes itawatesa nyote kisaikolojia na hasa mwanaume hua rahisi sana kukengeuka,
Kama ni lazima sana kumwambia basi mtoe out, nendeni sehemu for a weekend just the two of you, spend a good time together, mkumbushe mlivyokutana, ups and downs, msifie alivyo mjasiri, mueleweshe bila yeye usingekua hapo, mjaze masifa hadi ajione Queen wa Dunia, kisha mwambie jambo lako kwa upole na hata akireact jaribu kua cool huku ukimplease acalm down ni changamoto, akilegea tu kula mate kama Fantana alivyokua anakula domo la Mondi, piga show ya kibabe hadi asiweze kutembea for 30 mnts, be romantic,
Imeisha hiyoooooooooooo
Kuwa mtu huru. Usiwe miongoni mwa poverty mentality.Mimi ni mkristo na nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 8 na tumebarikiwa kuwa na watoto wawili sasa ila kuna jambo nililikosea kwa mkewangu na sasa nataka nimwambie ukweli kuhusu hilo sasa kutokana na uzoefu kumhusu kwa kaliba yake naona kabisa ataenda kukiwasha isivyo kawaida na kwa asilimia 89.6% anaweza kudai talaka (namuwazia tu kichwani🙁).
Sasa kabla sijakubali atakachokidai naomba kufahamu kwa wale ambao mmeshapitia hii situation ya ndoa kuvunjika mpaka kupeana talaka.
Je, kuna madhara yoyote yanaweza kutokea kama mmekaa kwenye ndoa kwa muda mrefu kiasi hiki ukiachana na kugawana mali sijui nini?
Je, haya mambo ya kupeana talaka inaweza kuniletea shida ya kisaikolojia au kiroho nikakengeuka?
Mliopita kwenye hii situation naomba uzoefu wenu, nitashukuru sana kabla sijaaamua ..🙏
Wewe nae itakua umekolea kwa mzungu tu.Katika nyakati tofauti kuna sauti inaniambia ukiachana na mkewako itanidhuru then kuna nyakati kuna sauti inaniambia ukiachana na mkewako utakuwa poa tuu sasa nipo njia panda nielekee upande upi kuhusu mali sina shida na hilo ntamwachia tu maana ni za watoto
Umeonaee anatupanga tu hana loloteWewe nae itakua umekolea kwa mzungu tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani ukimsoma inafikirisha sana, wamegegedana na huyo mzungu hajawahi kwenda kumwambia mkewe ila sasa hivi baada ya ujauzito anahisi hatia really!!! [emoji15] [emoji15] Kwakweli anatupanga pakubwa huyu.Umeonaee anatupanga tu hana lolote
Ni mshangao wa herufi kubwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani ukimsoma inafikirisha sana, wamegegedana na huyo mzungu hajawahi kwenda kumwambia mkewe ila sasa hivi baada ya ujauzito anahisi hatia really!!! [emoji15] [emoji15] Kwakweli anatupanga pakubwa huyu.
Mimi ni mkristo na nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 8 na tumebarikiwa kuwa na watoto wawili sasa ila kuna jambo nililikosea kwa mkewangu na sasa nataka nimwambie ukweli kuhusu hilo sasa kutokana na uzoefu kumhusu kwa kaliba yake naona kabisa ataenda kukiwasha isivyo kawaida na kwa asilimia 89.6% anaweza kudai talaka (namuwazia tu kichwani🙁).
Sasa kabla sijakubali atakachokidai naomba kufahamu kwa wale ambao mmeshapitia hii situation ya ndoa kuvunjika mpaka kupeana talaka.
Je, kuna madhara yoyote yanaweza kutokea kama mmekaa kwenye ndoa kwa muda mrefu kiasi hiki ukiachana na kugawana mali sijui nini?
Je, haya mambo ya kupeana talaka inaweza kuniletea shida ya kisaikolojia au kiroho nikakengeuka?
Mliopita kwenye hii situation naomba uzoefu wenu, nitashukuru sana kabla sijaaamua ..🙏
katika mahusiaono ya ndoa, hupaswi kuweka talaka kuwa suluhisho, hata ikiwa umekosea kitu gani,Mimi ni mkristo na nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 8 na tumebarikiwa kuwa na watoto wawili sasa ila kuna jambo nililikosea kwa mkewangu na sasa nataka nimwambie ukweli kuhusu hilo sasa kutokana na uzoefu kumhusu kwa kaliba yake naona kabisa ataenda kukiwasha isivyo kawaida na kwa asilimia 89.6% anaweza kudai talaka (namuwazia tu kichwani🙁).