Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
😀 mashangazi yanatoka jasho nda wote yanatelezWewe na mishangazi aiachie nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀 mashangazi yanatoka jasho nda wote yanatelezWewe na mishangazi aiachie nani
Aise! 😳Tena yenye mfano wa kuigwa, ukituona utafikiri ndio tumeoana leo; kumbe watoto wako sekondari; ndoa ili idumu haiitaji 'u7tle', inahitaji uhuni fulani, ukijipitisha jikoni, unapata kibao cha kalio 😀😀
Am sure ni ya maneno😃Hata ya maneno 😀😀😀😀
Si ndo mazuri😀 mashangazi yanatoka jasho nda wote yanatelez
Sijajua makuzi uliyopitia ila yanaonekana ni yale ya Home-school-job, namaanisha kuwa ni wale waliozaliwa wakaenda shule kisha wakapata kazi!!!!!!!!!!!!!!!! Hakuna msoto!!!!!!!!!!!!!!!!Mimi ni mkristo na nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 8 na tumebarikiwa kuwa na watoto wawili sasa ila kuna jambo nililikosea kwa mkewangu na sasa nataka nimwambie ukweli kuhusu hilo sasa kutokana na uzoefu kumhusu kwa kaliba yake naona kabisa ataenda kukiwasha isivyo kawaida na kwa asilimia 89.6% anaweza kudai talaka (namuwazia tu kichwani🙁).
Sasa kabla sijakubali atakachokidai naomba kufahamu kwa wale ambao mmeshapitia hii situation ya ndoa kuvunjika mpaka kupeana talaka.
Je, kuna madhara yoyote yanaweza kutokea kama mmekaa kwenye ndoa kwa muda mrefu kiasi hiki ukiachana na kugawana mali sijui nini?
Je, haya mambo ya kupeana talaka inaweza kuniletea shida ya kisaikolojia au kiroho nikakengeuka?
Mliopita kwenye hii situation naomba uzoefu wenu, nitashukuru sana kabla sijaaamua ..🙏
am too positive; Nimelike na kukushukuru.. no more..Sijajua makuzi uliyopitia ila yanaonekana ni yale ya Home-school-job, namaanisha kuwa ni wale waliozaliwa wakaenda shule kisha wakapata kazi!!!!!!!!!!!!!!!! Hakuna msoto!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna elimu ya darasani :Hii mara nyingi unakariri na unakuwa kama roboti au msukule hasa ukisoma bongo.
Elimu ya mtaa: Hii huambatana na uhalisia wenyewe wa maisha, hapa hamna kukariri ila ni kuelewa mtaa unataka nini na kwa wakati gani.Mara nyingi hii ndiyo dunia yenyewe!!!!!!!!
Ukifanikiwa kupata elimu ya darasani na elimu ya mtaa hakuna tatizo au changamoto yoyote itakayokusumbua katika dunia hii. Pia hata ukiipata elimu ya mtaa bila ya darasani bado hakuna tatizo litakalokusumbua.
Unaonekana bado mtoto wa mama na unapenda kushikiwa akili, mfano wote tukisema mwambie kuwa una mtoto utaenda, tukisema usiende hutaenda, kwa kifupi ni bendera fuata upepo!!!!!!!!!!
STREET SMARTS | English meaning - Cambridge Dictionary
the ability to manage or succeed in difficult or dangerous situations, especially in big towns or cities: You don't have the street smarts to last ten minutes in New York without getting ripped off.
Nb 1: Kuna wakati wa kuongea na kuna wakati wa kukaa kimya.( Wewe kama mume wa ndoa)
Nb 2: Unatakiwa kujua vitu vingi ila siyo kila kitu ni lazima ukijue (Mke na mume kwenye ndoa)
Kelsea kaolewa lini 😲😲😲😲Hawa wanandoa zao ngoja nikuitie wakushauri
Mshana Jr kabanga Shimba ya Buyenze Ngalikihinja Gily Glenn Extrovert National Anthem Kelsea Mamndenyi proton pump Equation x
Aise andunje kafanya kweli....kweli hela kiboko Kelsea huyu huyu wa tdh ndio wakuolewa na andunje!😀😀😀😀hakukupa mualiko
Kama ni kuhusu yule mfinland uliyemoa mimba mkuu uchune kwanza kwani kuna haraka gani ya kumwambia mkeo?? Huyi mtoto ameshazaliwa??Mimi ni mkristo na nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 8 na tumebarikiwa kuwa na watoto wawili sasa ila kuna jambo nililikosea kwa mkewangu na sasa nataka nimwambie ukweli kuhusu hilo sasa kutokana na uzoefu kumhusu kwa kaliba yake naona kabisa ataenda kukiwasha isivyo kawaida na kwa asilimia 89.6% anaweza kudai talaka (namuwazia tu kichwani🙁).
Sasa kabla sijakubali atakachokidai naomba kufahamu kwa wale ambao mmeshapitia hii situation ya ndoa kuvunjika mpaka kupeana talaka.
Je, kuna madhara yoyote yanaweza kutokea kama mmekaa kwenye ndoa kwa muda mrefu kiasi hiki ukiachana na kugawana mali sijui nini?
Je, haya mambo ya kupeana talaka inaweza kuniletea shida ya kisaikolojia au kiroho nikakengeuka?
Mliopita kwenye hii situation naomba uzoefu wenu, nitashukuru sana kabla sijaaamua ..[emoji120]
Mtoto hata hajazaliwa bado, ni mimba halafu anataka kumwambia mkewe. What if mtoto akazaliwa kumbe sio wake?? Hebu awe na kifua atulie kwamza mtoto azaliwe na awe mkubwa angalau miaka kadhaa ndio awaze kumwambia mkeweHuyo mtoto wa nje ya ndoa na ndoa yako nani ana umri mkubwa?
Mkuu we sema kwamba umemchoka mke wako unataka kumpa talaka so unataka kujua side effects zake na sio kuusemea moyo wa mwenzakoMimi ni mkristo na nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 8 na tumebarikiwa kuwa na watoto wawili sasa ila kuna jambo nililikosea kwa mkewangu na sasa nataka nimwambie ukweli kuhusu hilo sasa kutokana na uzoefu kumhusu kwa kaliba yake naona kabisa ataenda kukiwasha isivyo kawaida na kwa asilimia 89.6% anaweza kudai talaka (namuwazia tu kichwani🙁).
Sasa kabla sijakubali atakachokidai naomba kufahamu kwa wale ambao mmeshapitia hii situation ya ndoa kuvunjika mpaka kupeana talaka.
Je, kuna madhara yoyote yanaweza kutokea kama mmekaa kwenye ndoa kwa muda mrefu kiasi hiki ukiachana na kugawana mali sijui nini?
Je, haya mambo ya kupeana talaka inaweza kuniletea shida ya kisaikolojia au kiroho nikakengeuka?
Mliopita kwenye hii situation naomba uzoefu wenu, nitashukuru sana kabla sijaaamua ..[emoji120]
Kipi bora, kusumbuliwa na jambo hili kutokana na kutomwambia mkeo au kumwambia u risk divorce ambayo upo certain itatokea?Changamoto niliyonayo ni kwamba nahisi hatia ndani mno na njia pekee ya kuwa na amani ni mpaka nimwambie mke wangu huu ukweli sasa kadri nnavyoendelea kukaa nalo nakosa amani najikuta nimebeba jambo zito mno na sijui sababu nini maana kuna mengi sijamwambia na yamebaki kuwa siri ila hili la mtoto nje ya ndoa nashindwa kulibeba linanisumbua sana ila sasa nikimwambia tu kuna hatari nyingi zinaweza kutokea nafikiri japo sikuwahi kupitia such experience ya kupeana talaka
Hii kibongobongo anakusamehe tu kiroho safi ila huko ugenini mmhNimempa ujauzito mwanamke mmoja wa kizungu mimba ina miezi kadhaa sasa ila anaishi nje ya canada mwanzo nilikuwa nataka aitoe tu akagoma lakini kadri muda unavyozidi kwenda naona namhitaji huyo mtoto aliye tumboni si vyema kumtelekeza sasa katika hilo ndio likaibuka suala la kumwambia mkewangu tu ukweli kwamba mwenzie mimi nishaharibu huko nje na natarajia mtoto mwingine sasa hali nayoisikia huku ndani ni tofauti sana.. atalibebaje atalikubali ? na baada ya kumwambia hali ya ndoa yetu itakuwaje ? kama itafikia kupeana talaka hali itakuwaje ndio maswali yanayonisumbua kwasasa mkuu
Mkuu sema tu ukweli kwamba unataka kumuoa mzungu kwa maana unavoongea inaonekana huna upendo tena na mkeo maana penye upendo hakishindikani kitu utafanya kila njia ili kulinda penzi lenu, lkn kwako hauna wasiwasi kuhusu talaka kabisa na side effects unazouliza ni kukuhusu wewe mwenyewe na sio kumuhusu mkeo wala watoto . . So selfish.Ni kweli lakini character ya mke wangu haitaniacha salama inahitaji akili nyingi kuepuka hiki kikombe cha talaka sipendi kinikute ndio maana najaribu kupata mawazo tofauti ili niweze kupata njia nzuri zaidi ya kuepuka talaka but akilazimisha kudai itanibidi nilibebe though sijui madhara yake yatakuwaje kiroho na kisaikolojia.. jambo hili ndio linanisumbua kwasasa...
Hiki ndo na mm nimekiona, hakuna mapenzi na mke wake tena.Unaonekana you are ready kabisa kuachana na mke wako.
Yaani you've made up your mind kwamba hata akidai talaka sawa tu. Maana ake humtaki tena.
Kama bado wamtaka kwann umwambie sasa wkt mwenyew unasema unamjua mke wako atadai tu talaka... meza. Kama ulivokaa nalo siku zote mpk saiz endelea kukaa nalo ivo ivo.
Otherwise mwambie, achananeni, talaka haitakuletea effects yyt.