Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madhara ya Talaka ni makubwa Sana hasa Kama Jambo au mgogoro wenu unaweza tatulika kwa mazungumzo ya kupatanishwa.Mimi ni mkristo na nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 8 na tumebarikiwa kuwa na watoto wawili sasa ila kuna jambo nililikosea kwa mkewangu na sasa nataka nimwambie ukweli kuhusu hilo sasa kutokana na uzoefu kumhusu kwa kaliba yake naona kabisa ataenda kukiwasha isivyo kawaida na kwa asilimia 89.6% anaweza kudai talaka (namuwazia tu kichwaniš).
Sasa kabla sijakubali atakachokidai naomba kufahamu kwa wale ambao mmeshapitia hii situation ya ndoa kuvunjika mpaka kupeana talaka.
Je, kuna madhara yoyote yanaweza kutokea kama mmekaa kwenye ndoa kwa muda mrefu kiasi hiki ukiachana na kugawana mali sijui nini?
Je, haya mambo ya kupeana talaka inaweza kuniletea shida ya kisaikolojia au kiroho nikakengeuka?
Mliopita kwenye hii situation naomba uzoefu wenu, nitashukuru sana kabla sijaaamua ..š
Ni kweli ulichoandika ndio maana hii kitu imekuwa inanisumbua sana kwenye kutafakari kwangu nakubali nimekosea but what the steps to take-off niepukane na madhara yote mbeleni.. its too hectic na huku nchi tulizopo kufa kwa stress ni kawaida sanaSio stress na depression pekee...lazima uwe na tahadhari sana hapo.... Usipokua makini kizazi chako chote kitaanza kuharibika kuanzia hapo.... usiombee kuwa na watoto wenye mama tofauti, labda kama Hauna watoto....
Fungua macho yako angalia mbeleNi kweli ulichoandika ndio maana hii kitu imekuwa inanisumbua sana kwenye kutafakari kwangu nakubali nimekosea but what the steps to take-off niepukane na madhara yote mbeleni.. its too hectic na huku nchi tulizopo kufa kwa stress ni kawaida sana
Kama ww ni mkristo mambo ya talaka ya nn tena jaman, si mpk kifo kiwatenganishe.Mimi ni mkristo na nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 8 na tumebarikiwa kuwa na watoto wawili sasa ila kuna jambo nililikosea kwa mkewangu na sasa nataka nimwambie ukweli kuhusu hilo sasa kutokana na uzoefu kumhusu kwa kaliba yake naona kabisa ataenda kukiwasha isivyo kawaida na kwa asilimia 89.6% anaweza kudai talaka (namuwazia tu kichwaniš).
Sasa kabla sijakubali atakachokidai naomba kufahamu kwa wale ambao mmeshapitia hii situation ya ndoa kuvunjika mpaka kupeana talaka.
Je, kuna madhara yoyote yanaweza kutokea kama mmekaa kwenye ndoa kwa muda mrefu kiasi hiki ukiachana na kugawana mali sijui nini?
Je, haya mambo ya kupeana talaka inaweza kuniletea shida ya kisaikolojia au kiroho nikakengeuka?
Mliopita kwenye hii situation naomba uzoefu wenu, nitashukuru sana kabla sijaaamua ..š
Asante kwa ushauri mtu wangu.. appreciated šMadhara ya Talaka ni makubwa Sana hasa Kama Jambo au mgogoro wenu unaweza tatulika kwa mazungumzo ya kupatanishwa.
Tafuta suruhu kabla ya kifikilia talaka, shirikisha wazazi, viongozi wako wa kiroho na marafiki.
Ni kweli lakini character ya mke wangu haitaniacha salama inahitaji akili nyingi kuepuka hiki kikombe cha talaka sipendi kinikute ndio maana najaribu kupata mawazo tofauti ili niweze kupata njia nzuri zaidi ya kuepuka talaka but akilazimisha kudai itanibidi nilibebe though sijui madhara yake yatakuwaje kiroho na kisaikolojia.. jambo hili ndio linanisumbua kwasasa...Kama ww ni mkristo mambo ya talaka ya nn tena jaman, si mpk kifo kiwatenganishe.
Kweli kabisa atafute wasuluhishi mapemaMadhara ya Talaka ni makubwa Sana hasa Kama Jambo au mgogoro wenu unaweza tatulika kwa mazungumzo ya kupatanishwa.
Tafuta suruhu kabla ya kifikilia talaka, shirikisha wazazi, viongozi wako wa kiroho na marafiki.
Ushaur mzur sana huuYaani umekaa na mke wako wako kwenye ndoa kwa miaka 8! Mkabarikiwa na watoto 2! Bila shaka mtakuwa mnaishi kwenu!!
Halafu unakuja na porojo za aina gani tena!! Mbaya zaidi kwenye ndoa za Kikristo, ni kifo tu ndicho kinacho watenganisha!!
Aisee kama una mtoto wa nje ya ndoa, ni bora ukamtoa tu sadaka. Wajulishe wazazi wako/ndugu zako baadhi ili wamtambue kimya kimya. Ila usijaribu kuivunja ndoa yako kwa vitu vya kijinga.
Huyo mke uliye naye, leo hii unaweza ukamuona ni wa kawaida! Kwa sababu tu umemzoea. Ila siku asipokuwepo kabisa kwenye maisha yako, utataabika sana.
Nakushauri umpende na kumheshimu daima. Hapa duniani kuna wanawake wengi wazuri! Ila wife material, ni wachache sana.
Bill Shaka ni habari za kuwa una mtoto nje ya ndoamkewangu ni mtumishi wa serikali hapa canada kwenye mambo ya women and Girls empowerment
Unaonekana you are ready kabisa kuachana na mke wako.Ni kweli lakini character ya mke wangu haitaniacha salama inahitaji akili nyingi kuepuka hiki kikombe cha talaka sipendi kinikute ndio maana najaribu kupata mawazo tofauti ili niweze kupata njia nzuri zaidi ya kuepuka talaka but akilazimisha kudai itanibidi nilibebe sijui madhara yake yatakuwaje kiroho na kisaikolojia..
Changamoto niliyonayo ni kwamba nahisi hatia ndani mno na njia pekee ya kuwa na amani ni mpaka nimwambie mke wangu huu ukweli sasa kadri nnavyoendelea kukaa nalo nakosa amani najikuta nimebeba jambo zito mno na sijui sababu nini maana kuna mengi sijamwambia na yamebaki kuwa siri ila hili la mtoto nje ya ndoa nashindwa kulibeba linanisumbua sana ila sasa nikimwambia tu kuna hatari nyingi zinaweza kutokea nafikiri japo sikuwahi kupitia such experience ya kupeana talakaUnaonekana you are ready kabisa kuachana na mke wako.
Yaani you've made up your mind kwamba hata akidai talaka sawa tu. Maana ake humtaki tena.
Kama bado wamtaka kwann umwambie sasa wkt mwenyew unasema unamjua mke wako atadai tu talaka... meza. Kama ulivokaa nalo siku zote mpk saiz endelea kukaa nalo ivo ivo.
Otherwise mwambie, achananeni, talaka haitakuletea effects yyt.
Usiseme bora ahic tu mwenyewe mkuuNimempa ujauzito mwanamke mmoja wa kizungu mimba ina miezi kadhaa sasa ila anaishi nje ya canada mwanzo nilikuwa nataka aitoe tu akagoma lakini kadri muda unavyozidi kwenda naona namhitaji huyo mtoto aliye tumboni si vyema kumtelekeza sasa katika hilo ndio likaibuka suala la kumwambia mkewangu tu ukweli kwamba mwenzie mimi nishaharibu huko nje na natarajia mtoto mwingine sasa hali nayoisikia huku ndani ni tofauti sana.. atalibebaje atalikubali ? na baada ya kumwambia hali ya ndoa yetu itakuwaje ? kama itafikia kupeana talaka hali itakuwaje ndio maswali yanayonisumbua kwasasa mkuu
Huyo mtoto wa nje ya ndoa na ndoa yako nani ana umri mkubwa?Changamoto niliyonayo ni kwamba nahisi hatia ndani mno na njia pekee ya kuwa na amani ni mpaka nimwambie mke wangu huu ukweli sasa kadri nnavyoendelea kukaa nalo nakosa amani najikuta nimebeba jambo zito mno na sijui sababu nini maana kuna mengi sijamwambia na yamebaki kuwa siri ila hili la mtoto nje ya ndoa nashindwa kulibeba linanisumbua sana ila sasa nikimwambia tu kuna hatari nyingi zinaweza kutokea nafikiri japo sikuwahi kupitia such experience ya kupeana talaka
Nimecheka huku moyo unaumiaMkiachana wala hakuna madhara mkuu... Utaishi peke yako kama mfalme na utaheshimika sana kwa sababu wewe
Bas we hudumia mtoto kimya kimya tu kama unamuogopa mkeo.Ndoa ina umri mkubwa