Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nafurahi unavyojieleza...Wacuba watanielewa😂😂Sidhani labda wazulu sawa maana niliishi huko SA sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafurahi unavyojieleza...Wacuba watanielewa😂😂Sidhani labda wazulu sawa maana niliishi huko SA sana
Wewe nieleze uone unavyokuwa mwepesi na mwenye furaha🤣🤣🤣Kuna dhambi ambazo hata viungo vingine havipaswi kujua sembuse wewe😂😂
Ulivyo mmbea si ntahama na jf??🤣🤣🤣Wewe nieleze uone unavyokuwa mwepesi na mwenye furaha🤣🤣🤣
Au hutaki tena furaha?
Hapana mkuu baki hapa nisamehe mkuu...nimezoea utani tuMajisifu mengi si ndio? ngoja nipunguze mkuu maana naona unapata tabu kweli am zip-off
🤣🤣🤣🤣🤣Ulivyo mmbea si ntahama na jf??🤣🤣🤣
Asante mkuu kwa ushauri mzuri... But watoto niliwaandika kwenye mali zote zilizopo canada, am peace with it hata nikiwaachia..Mambo yakiwa magumu keep distance kwa faida ya watoto wako mali utafutwa,waachie nyumba na mali viandikishe watoto, then nenda kaanze upya.Hii Ina faida kubwa angalau kuliko ya talaka
Bora ananifaa awe shemuHuyo hatakagi ujinga atanitoa baruu🤣🤣🤣
Sio stress na depression pekee...lazima uwe na tahadhari sana hapo.... Usipokua makini kizazi chako chote kitaanza kuharibika kuanzia hapo.... usiombee kuwa na watoto wenye mama tofauti, labda kama Hauna watoto....dah aisee so stress na depressions zitanihusu mkuu?
Unaoa mdogo wake?Bora ananifaa awe shemu
Dadangu aolewe japo anapenda kujizeeshaUnaoa mdogo wake?
Vizur,ila kabla ujafikia uamuzi wa kuachana muombe ukeep distance yaani ukae pekee yako binafsi hata mji mwingine ili utafakari.Zipo ndoa zinadumu kwa watu kuwa distance.Asante mkuu kwa ushauri mzuri... But watoto niliwaandika kwenye mali zote zilizopo canada, am peace with it hata nikiwaachia..