Naomba kufahamu Madhara ya kupeana talaka baada ya ndoa Kuvunjika

Nimempa ujauzito mwanamke mmoja wa kizungu mimba ina miezi kadhaa sasa ila anaishi nje ya canada mwanzo nilikuwa nataka aitoe tu akagoma lakini kadri muda unavyozidi kwenda naona namhitaji huyo mtoto aliye tumboni si vyema kumtelekeza sasa katika hilo ndio likaibuka suala la kumwambia mkewangu tu ukweli kwamba mwenzie mimi nishaharibu huko nje na natarajia mtoto mwingine sasa hali nayoisikia huku ndani ni tofauti sana.. atalibebaje atalikubali ? na baada ya kumwambia hali ya ndoa yetu itakuwaje ? kama itafikia kupeana talaka hali itakuwaje ndio maswali yanayonisumbua kwasasa mkuu
Una uwakika iyo mimba ni yako nakati mwanamke mwenyewe uko mbali nae tunza siri iyo kama mwanaume utakuja kunishukuru baadaye mpaka mtoto atakapo zaliwa na ukimwambia alafu mkaachana apo katikati iyo mimba ikatoka au mtoto akazaliwa akafa utaweka wapi sura yako.Use your brain effectively man

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Equation x nae yuko kwenye ndoa? 🙆‍♀️🙆‍♀️
Tena yenye mfano wa kuigwa, ukituona utafikiri ndio tumeoana leo; kumbe watoto wako sekondari; ndoa ili idumu haiitaji 'u7tle', inahitaji uhuni fulani, ukijipitisha jikoni, unapata kibao cha kalio 😀😀
 
  • Sababu kuu ni ipi ya kuvunja ndoa?
  • Ndoa ya kikristu huwa haivunjiki, mnaweza kutengana tu kwa muda.
  • Na katika maamuzi au matatizo ya ndoa, mtayamaliza nyie wawili mlioamua kuwa kitu kimoja.
 
Nme fatiria thread zako zina onesha hauna kifua cha kiume kabsa .una teswa na mambo ya kawaida kabsa wala huja bananishwa na tatizo lolote ni kiwewe chako tu na uoga ..nyie ndo wale ambao ni rahisi ku snitch wenzenu kwenye msala wowote .

Snitches get stitches
 
Nimempa ujauzito mwanamke mmoja wa kizungu mimba ina miezi kadhaa sasa ila anaishi nje ya canada mwanzo nilikuwa nataka aitoe tu akagoma lakini kadri muda unavyozidi kwenda naona namhitaji huyo mtoto aliye tumboni si vyema kumtelekeza sasa katika hilo ndio likaibuka suala la kumwambia mkewangu tu ukweli kwamba mwenzie mimi nishaharibu huko nje na natarajia mtoto mwingine sasa hali nayoisikia huku ndani ni tofauti sana.. atalibebaje atalikubali ? na baada ya kumwambia hali ya ndoa yetu itakuwaje ? kama itafikia kupeana talaka hali itakuwaje ndio maswali yanayonisumbua kwasasa mkuu
Tatizo dogo sana hilo, wenzio tuna watoto nje zaidi ya kumi, na ndoa inadumu tu vizuri; Kwa sasa hakuna haja ya kuweka wazi, utakuja kuweka wazi mtoto akishakuwa mkubwa labda miaka 10; wakati huo, nanyi mtakuwa na umri mkubwa wenye kufanya maamuzi ya busara. Kwa sasa mpende zaidi mkeo, ikiwezekana kama una mali mpatie asimamie.​
 
Joanah njoo
 
Appreciated. 🙏
 
Nme fatiria thread zako zina onesha hauna kifua cha kiume kabsa .una teswa na mambo ya kawaida kabsa wala huja bananishwa na tatizo lolote ni kiwewe chako tu na uoga ..nyie ndo wale ambao ni rahisi ku snitch wenzenu kwenye msala wowote .

Snitches get stitches
Unavyonifikiria sivyo kabisa nafikiri kwasababu hatujuani.. but kila mtu duniani ana strength na weakness zake mimi weakness yangu kubwa ni kuishi bila amani icant handle it.. hata kama tumegombana aje lazima nitafute suluhu hata kwa maumivu but nijue yameisha yameisha..
 
Gily njoo aposto si ameoa
Aposto labda akuoe wewe ili aache👇
fap-tongue-out.gif
 
Back
Top Bottom