mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,857
Fika Msikiti wa MadinaKwa Dar es Salaam, ni maeneo yapi yanatoa huduma za kulipia za mafunzo ya karate kwa ajili ya kujihami?
Misikiti yote walimu wa karate wapo ni yeye tuUlizia kwenye maeneo ya kariakoo hasa kwenye misikiti
AhsanteUlizia kwenye maeneo ya kariakoo hasa kwenye misikiti
Vipi kuhusu tabia yake ?Habarini wanaJamiiForums!
Kwa Dar es Salaam, ni maeneo yapi yanatoa huduma za kulipia za mafunzo ya karate kwa ajili ya kujihami?
Kijana wangu ana miaka 10 na ningependa apate japo abc's za kujilinda mwenyewe.
Nitashukuru sana.
Regards
Amadi!
Kiasi fulani huwa mnapenda kuleta maneno ya kipumbavu ili kuwaudhi waislamu.Ulizia kwenye maeneo ya kariakoo hasa kwenye misikiti
Nenda Msikiti wa Maka hapo MwembechaiAhsante
Kongfuu Shaolin Temple Master kijicho wa Mitulinga na JackChenKiasi fulani huwa mnapenda kuleta maneno ya kipumbavu ili kuwaudhi waislamu.
Karate ni taaluma ya kujihami ambayo ilianzia nchini JAPAN .
Taaluma hii haina uhusiano na dini yoyote bali ni elimu kwa ajili ya kujihami kwa kutumia viungo vya mwili hasa mikono na miguu!.
Japo Mimi kwa Sasa nipo mkoani Kilimanjaro lakini kipindi nipo Dar es salaam nimewahi kuwa na marafiki kadhaa ambao ni walimu wa taaluma hii ambao wengine ni wakristo sema tu ni siku nyingi sana kiasi kwamba hata namba zao za simu niliishapoteza.
Ila nakumbuka mmoja anapatikana maeneo karibu na sekondari ya Benjamin Mkapa na pia kwa Kigamboni kuna kituo wanafundisha Kungfuu ambayo ni nzuri zaidi kuliko Karate.
Namshauri mleta uzi aingie google aandike Dar es salaam Shaolin temple atapata hadi namba zao za simu.
Kwa faida ya wale wasiojua ni kwamba kati ya tafauti ya karate na Kungfuu ni kwamba karate asili yake ni Japan na Kungfuu asili yake ni china.
Sio kweli. Kwanza serikali hairuhusu taasisi za dini kuanzisha mafunzo ambayo hayana uhusiano na dini, na pili ili kuwa na kituo cha kutoa mafunzo kama haya yahitajika uwe na leseni toka wizara ya mambo ya ndani ya nchi.Misikiti yote walimu wa karate wapo ni yeye tu
Msikitini wanatoa mafunzoSio kweli. Kwanza serikali hairuhusu taasisi za dini kuanzisha mafunzo ambayo hayana uhusiano na dini, na pili ili kuwa na kituo cha kutoa mafunzo kama haya yahitajika uwe na leseni toka wizara ya mambo ya ndani ya nchi.
Kwa sababu kwenye michezo kama hii Kuna kuumizwa au kufa .Kama mtu anatoa mafunzo haya bila kibali halafu likatokea tatizo itakuwa mgogoro kati yake na vyombo vya dola.
Kabla ya mwaka 2015 Kuna wahuni wachache waliokuwa wakiitumia misikiti kama kichaka cha kuhamisisha vijana wasiojielewa kufanya mambo ambayo hayana msaada wowote duniani wala akhera kwa kisingizio Cha jihadi.Msikitini wanatoa mafunzo
Nenda WMCA pale, au opposite na makaburi ya kisutu, Kuna shule pale siitaki kuitaja jina , jioni pale utawakuta wakufunziHabarini wanaJamiiForums!
Kwa Dar es Salaam, ni maeneo yapi yanatoa huduma za kulipia za mafunzo ya karate kwa ajili ya kujihami?
Kijana wangu ana miaka 10 na ningependa apate japo abc's za kujilinda mwenyewe.
Nitashukuru sana.
Regards
Amadi!
Kama uwezo unaruhusu mpeleke hapo coz connection za kimataifa zipo pia! Mafunzo yao yanatambulika kimataifa! Ni sehemu ya kishua!Nenda WMCA pale