Naomba kufahamu Majipu husababishwa na nini?

upupu

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2008
Posts
614
Reaction score
198
Wakuu naomba mnisaidie hapo, mtoto wangu alipatwa na jipu la kwanza wakalitumbua na kumpa dawa, sasa amepata jingne, within 3months, nataka kujua kwa mwenye uelewa na huu ugonjwa, nini chanzo chake?
 
Wakuu naomba mnisaidie hapo, mtoto wangu alipatwa na jipu la kwanza wakalitumbua na kumpa dawa, sasa amepata jingne, within 3months, nataka kujua kwa mwenye uelewa na huu ugonjwa, nini chanzo chake?

Mkuu, akapime damu. Pole sana
 
Huwa wanadai "damu imechafuka".

Sijui ni kweli au huwa ni maneno ya madaktari vishoka kwenye hizi pharmacies na dispensaries zetu huku Kigogo Sambusa.
 
Ni kweli huwa ni mchafuko wa damu. Inanidi atumie tonic ya kusafisha damu
 
majipu husababishw ana bacteria aina ya staphyloccoccus aureus. Hutokana na maambukizi ya kina ya foilkoli, ya ngozi.
 
Ni kweli huwa ni mchafuko wa damu. Inanidi atumie tonic ya kusafisha damu

Hapana, tonic haisaidii, kuchafuka kwa damu ni kitu cha kawaida na kuna dawa zake, ni vema ukatapa ushauri toka kwa madaktari.
 
Sure, tunajikingaje? Na tiba stahiki ni ipi?
 
Jamani naombeni mnisaidie.

Nina tatizo la vijipu vidogo kwapani vinaota. Kalianza kamoja sasa hivi vimekuwa vitatu. Tatizo ni nini au husababishwa na nini?
 
Umeshapima mabukizi ya virusi vya UKIMWI ndugu?
 
Kama unatumia deodorant be carefull mimi nilikuwa natumia deodorant ya nivea nahisi ilikuwa fake nilipatwa na jipu kwapani twice nilipoacha sikupata tena jipu.
 
Mara nyingi body spray huwa ni chanzo, hususani wakati wa ku spray unasogeza karibu na kwapa, mi nilishawahi kutokwa na vijipu hivyo lkn nilipoanza ku spray kwa umbali wa cm 30, mambo yakawa murua kabisa, lakini kama vinazidi ni vyema ukamuona daktari, 'pole sana'
 
Wakuu naomba mnisaidie hapo, mtoto wangu alipatwa na jipu la kwanza wakalitumbua na kumpa dawa, sasa amepata jingne, within 3months, nataka kujua kwa mwenye uelewa na huu ugonjwa, nini chanzo chake?

Jipu ni mkusanyiko wa chembe hai nyeupe zilizo pigana vita mwilini na mwisho kupoteza uhai.

Chembe hai mfu hujikusanya sehemu moja ya mwili na kutengeneza jipu.

Kufa kwa chembe hai nyeupe kunaweza sababishwa na maambukizi hasa ya bakteria mwilini.

Wakati mwingine hii hutokana na mwili kupambana na aina fulani ya protini ambazo mwili huwa hauzikubali(mzio). Hii hutokea hasa kwa watoto.
 
Naomba msaada hivi hii kutokwa na majipu makalioni huwa inasababishwa na nn na naomba kujua tiba yake
 
kupnda kwa uume kunasababishwa na nn? na je kuna tiba ya tatzo hlo
 
Majipu yanasababishwa na bacteria aina ya staphyllococcus,ukipata jipu nenda hosp ukapate matibabu!
 
Wakuu naomba mnisaidie hapo, mtoto wangu alipatwa na jipu la kwanza wakalitumbua na kumpa dawa, sasa amepata jingne, within 3months, nataka kujua kwa mwenye uelewa na huu ugonjwa, nini chanzo chake?

Moja ya vitu vinavyochangia ni Blue band . Fanya kautafiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…