Hmmh! Nami nimepatwa na tatizo la jipu kwapani twice, ila ni wakati nilipo badilisha Deodorant kutoka FA niliyokuwa naitumua awali kwenda NIVEA. Hapo naweza amini kua NIVEA hainitaki. Sio kwa watu wote lakini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.