Naomba kufahamu Majipu husababishwa na nini?

Naomba kufahamu Majipu husababishwa na nini?

Hmmh! Nami nimepatwa na tatizo la jipu kwapani twice, ila ni wakati nilipo badilisha Deodorant kutoka FA niliyokuwa naitumua awali kwenda NIVEA. Hapo naweza amini kua NIVEA hainitaki. Sio kwa watu wote lakini.​
 
Back
Top Bottom