Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naomba mnisaidie hapo, mtoto wangu alipatwa na jipu la kwanza wakalitumbua na kumpa dawa, sasa amepata jingne, within 3months, nataka kujua kwa mwenye uelewa na huu ugonjwa, nini chanzo chake?
Ni kweli huwa ni mchafuko wa damu. Inanidi atumie tonic ya kusafisha damu
staphylococcal aureus bacteria ok tupe mkuu how to preventmajipu husababishw ana bacteria aina ya staphyloccoccus aureus. Hutokana na maambukizi ya kina ya foilkoli, ya ngozi.