SAE 40 Member Joined Dec 11, 2018 Posts 38 Reaction score 15 Jan 11, 2019 #21 Hmmh! Nami nimepatwa na tatizo la jipu kwapani twice, ila ni wakati nilipo badilisha Deodorant kutoka FA niliyokuwa naitumua awali kwenda NIVEA. Hapo naweza amini kua NIVEA hainitaki. Sio kwa watu wote lakini.
Hmmh! Nami nimepatwa na tatizo la jipu kwapani twice, ila ni wakati nilipo badilisha Deodorant kutoka FA niliyokuwa naitumua awali kwenda NIVEA. Hapo naweza amini kua NIVEA hainitaki. Sio kwa watu wote lakini.