Njuka II
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 414
- 733
Nitext PM ndg, nimejaribu kukutext imegomaJamaa uko vzr, naomba mawasiliano yako unikadilie ramani flan hapa, kuna hela ya supu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitext PM ndg, nimejaribu kukutext imegomaJamaa uko vzr, naomba mawasiliano yako unikadilie ramani flan hapa, kuna hela ya supu mkuu
Mkuu mchoro wenyewe huu hapaMkuu nina kautaalamu kidogo cha kuezeka ila kwa calculation yako hii umeenda mbali mno!
Ila nimekukubali sana , i wish ungenipiga msasa kidogo.
BATI (92pcs)
No of Sheet = (11×9)÷(0.6×2.7)×1.5 = 92 sheets
Twende kwenye uhalisia kuproove
Tuassume nyumba yako haina kona kona hivyo tunapaua kwa mgongo wa tembo
Kama utatumia angle ya 45, king post itakuwa ni nusu ya urefu wa tie beam.
Kingpost = 0.5×9= 4.5m
Rafter = sqrt(4.5²+4.5²)= 6.3m+ Overhang (0.3m)= 6.6m
Idadi ya bati per roofing line = (11m+Overhang (0.4×2))/0.6 = 19.6 (approx 20)
Katika 6.6m zinaingia bati 2 na kubaki uwazi wa 1m
Jumla ya bati nzima = 2x20x2 = bati 80 (pande zote mbili)
Bati moja vinaingia vipande vya 1m vitatu, na jumla vinahitajika vipande 40 (20 upande mmoja, 20 upande mwingine)
Jumla ya bati za kuziba vipande = 40/3 = 13.3
JUMLA = 80+13 = Bati 93
MBAO 2×4 (125pcs), MBAO 2x2 (40pcs)
Idadi ya kench = (11m/1.2m)+1 = 10
Kench moja huwa inatumia mbao mara 5 ya urefu wa tie beam
So idadi ya mbao (2×4) = (10x5x9)/3.6 = 125
Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2/3.6= 39.3 (Approx 40)
MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15
Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt
Nini madhara yake mkuu?Hii ramani yako mchoraji hakutumia scale, mana upande ambao ni mrefu (10.9m) unaonekana ni mfupi kuliko upande ambao ni mfupi (8.5m). Scale ni muhimu sana ktk uchoraji vinginevyo ramani itakuja ikusumbue kwenye vipimo mfano ukiangalia hicho chumba chenye mita 4.5, ukafanya hesabu utagundua hicho kikabati kina 80cm lakini ukiangalia mchoro unaona ukuta unaotenganisha hizo kabati (closet) upo katikati ya korido ambayo ina 1.2m hivyo pattern inaonesha closet ina 60cm lakini vipimo vinaonesha closet ina 80cm, kama angetumia scale huo ukuta usingekaa katikati kama unavyoonekana. Yote kwa yote ukiondoa hizo varanda, mfumo uliobaki kutokana na ramani yako ni wa mfumo wa mapaa manne (kunakuwa hakuna ukuta wa gable baada ya stop course)
Na je makadirio ya bati na mbao kuna mabadiliko?Nini madhara yake mkuu?
Mabadiliko yatakuwepo japo sio kwa kiasi kikubwa, mfumo wa mapaa manne unakuwa na wastage nyingi ya material, sio kwa bati tu hata kwa upande wa mbao. Faida yake ni kwamba utakuwa unavuna maji mengi kipindi cha mvua. Mfumo wa mapaa manne unapendeza zaidi kama nyumba yako ina umbo la mstatili mfano 5m kwa 9m, lakini kama nyumba ina umbo la mraba au vipimo vyake vimekaribiana sana mfano 5m kwa 5.5m paa litatokea kama mwamvuliNa je makadirio ya bati na mbao kuna mabadiliko?
Mabadiliko ya ongezeko au kupungua?Mabadiliko yatakuwepo japo sio kwa kiasi kikubwa, mfumo wa mapaa manne unakuwa na wastage nyingi ya material, sio kwa bati tu hata kwa upande wa mbao. Faida yake ni kwamba utakuwa unavuna maji mengi kipindi cha mvua. Mfumo wa mapaa manne unapendeza zaidi kama nyumba yako ina umbo la mstatili mfano 5m kwa 9m, lakini kama nyumba ina umbo la mraba au vipimo vyake vimekaribiana sana mfano 5m kwa 5.5m paa litatokea kama mwamvuli
OngezekoMabadiliko ya ongezeko au kupungua?
Sawa mkuuOngezeko
BATI (92pcs)
No of Sheet = (11×9)÷(0.6×2.7)×1.5 = 92 sheets
Twende kwenye uhalisia kuproove
Tuassume nyumba yako haina kona kona hivyo tunapaua kwa mgongo wa tembo
Kama utatumia angle ya 45, king post itakuwa ni nusu ya urefu wa tie beam.
Kingpost = 0.5×9= 4.5m
Rafter = sqrt(4.5²+4.5²)= 6.3m+ Overhang (0.3m)= 6.6m
Idadi ya bati per roofing line = (11m+Overhang (0.4×2))/0.6 = 19.6 (approx 20)
Katika 6.6m zinaingia bati 2 na kubaki uwazi wa 1m
Jumla ya bati nzima = 2x20x2 = bati 80 (pande zote mbili)
Bati moja vinaingia vipande vya 1m vitatu, na jumla vinahitajika vipande 40 (20 upande mmoja, 20 upande mwingine)
Jumla ya bati za kuziba vipande = 40/3 = 13.3
JUMLA = 80+13 = Bati 93
MBAO 2×4 (125pcs), MBAO 2x2 (40pcs)
Idadi ya kench = (11m/1.2m)+1 = 10
Kench moja huwa inatumia mbao mara 5 ya urefu wa tie beam
So idadi ya mbao (2×4) = (10x5x9)/3.6 = 125
Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2/3.6= 39.3 (Approx 40)
MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15
Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt
BATI (92pcs)
No of Sheet = (11×9)÷(0.6×2.7)×1.5 = 92 sheets
Twende kwenye uhalisia kuproove
Tuassume nyumba yako haina kona kona hivyo tunapaua kwa mgongo wa tembo
Kama utatumia angle ya 45, king post itakuwa ni nusu ya urefu wa tie beam.
Kingpost = 0.5×9= 4.5m
Rafter = sqrt(4.5²+4.5²)= 6.3m+ Overhang (0.3m)= 6.6m
Idadi ya bati per roofing line = (11m+Overhang (0.4×2))/0.6 = 19.6 (approx 20)
Katika 6.6m zinaingia bati 2 na kubaki uwazi wa 1m
Jumla ya bati nzima = 2x20x2 = bati 80 (pande zote mbili)
Bati moja vinaingia vipande vya 1m vitatu, na jumla vinahitajika vipande 40 (20 upande mmoja, 20 upande mwingine)
Jumla ya bati za kuziba vipande = 40/3 = 13.3
JUMLA = 80+13 = Bati 93
MBAO 2×4 (125pcs), MBAO 2x2 (40pcs)
Idadi ya kench = (11m/1.2m)+1 = 10
Kench moja huwa inatumia mbao mara 5 ya urefu wa tie beam
So idadi ya mbao (2×4) = (10x5x9)/3.6 = 125
Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2/3.6= 39.3 (Approx 40)
MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15
Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt
Ramani yako ina makosa kadhaa, dirisha la choo cha public limeangalia choo cha chumba cha master..lakini pia kiusalama mlango wa jikoni unatakiwa ufungukie nje ili iwe rahisi kujiokoa inapotekea hatari kama moto n.k, kama bado hujapachika frem za milango badilisha uelekeo wa frem
Ni kweli mkuu dirisha la choo cha public linafungukia choo cha master. Hilo nimekubali iwe hivyo. Fremu bado sijaweka.Ramani yako ina makosa kadhaa, dirisha la choo cha public limeangalia choo cha chumba cha master..lakini pia kiusalama mlango wa jikoni unatakiwa ufungukie nje ili iwe rahisi kujiokoa inapotekea hatari kama moto n.k, kama bado hujapachika frem za milango badilisha uelekeo wa frem
Tukija kwenye upauaji, kama utapaua mapaa manne kingpost za katikati zitakaribiana sana kutokana na umbo la ramani yako (mraba), na pengine inaweza ikawa na kingpost moja tu mana wakati mwingine kingpost zikikaribiana sana, kingpost nyingine huwa inauliwa ili kusave mbao japo muonekano wake unakuwa haupendezi
Choo cha public hakitakuwa na chemba, sijui lakini hawa watu wa bomba watatumia maarifa gani hapoNi kweli mkuu dirisha la choo cha public linafungukia choo cha master. Hilo nimekubali iwe hivyo. Fremu bado sijaweka.
Mkuu Mimi nataka kujenga nyumba 13.2m x 9.5m naomba unikadirie batiBATI (92pcs)
No of Sheet = (11×9)÷(0.6×2.7)×1.5 = 92 sheets
Twende kwenye uhalisia kuproove
Tuassume nyumba yako haina kona kona hivyo tunapaua kwa mgongo wa tembo
Kama utatumia angle ya 45, king post itakuwa ni nusu ya urefu wa tie beam.
Kingpost = 0.5×9= 4.5m
Rafter = sqrt(4.5²+4.5²)= 6.3m+ Overhang (0.3m)= 6.6m
Idadi ya bati per roofing line = (11m+Overhang (0.4×2))/0.6 = 19.6 (approx 20)
Katika 6.6m zinaingia bati 2 na kubaki uwazi wa 1m
Jumla ya bati nzima = 2x20x2 = bati 80 (pande zote mbili)
Bati moja vinaingia vipande vya 1m vitatu, na jumla vinahitajika vipande 40 (20 upande mmoja, 20 upande mwingine)
Jumla ya bati za kuziba vipande = 40/3 = 13.3
JUMLA = 80+13 = Bati 93
MBAO 2×4 (125pcs), MBAO 2x2 (40pcs)
Idadi ya kench = (11m/1.2m)+1 = 10
Kench moja huwa inatumia mbao mara 5 ya urefu wa tie beam
So idadi ya mbao (2×4) = (10x5x9)/3.6 = 125
Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2/3.6= 39.3 (Approx 40)
MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15
Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt
BATI (92pcs)
No of Sheet = (11×9)÷(0.6×2.7)×1.5 = 92 sheets
Twende kwenye uhalisia kuproove
Tuassume nyumba yako haina kona kona hivyo tunapaua kwa mgongo wa tembo
Kama utatumia angle ya 45, king post itakuwa ni nusu ya urefu wa tie beam.
Kingpost = 0.5×9= 4.5m
Rafter = sqrt(4.5²+4.5²)= 6.3m+ Overhang (0.3m)= 6.6m
Idadi ya bati per roofing line = (11m+Overhang (0.4×2))/0.6 = 19.6 (approx 20)
Katika 6.6m zinaingia bati 2 na kubaki uwazi wa 1m
Jumla ya bati nzima = 2x20x2 = bati 80 (pande zote mbili)
Bati moja vinaingia vipande vya 1m vitatu, na jumla vinahitajika vipande 40 (20 upande mmoja, 20 upande mwingine)
Jumla ya bati za kuziba vipande = 40/3 = 13.3
JUMLA = 80+13 = Bati 93
MBAO 2×4 (125pcs), MBAO 2x2 (40pcs)
Idadi ya kench = (11m/1.2m)+1 = 10
Kench moja huwa inatumia mbao mara 5 ya urefu wa tie beam
So idadi ya mbao (2×4) = (10x5x9)/3.6 = 125
Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2/3.6= 39.3 (Approx 40)
MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15
Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt
Itabidi tuwasiliane ndg maana hapa nilikuwa natoa elimu ili kila mmoja aweze kufanya makadirio mwenyewe, in case kama mtu atataka nimfanyie makadirio hiyo tena itakuwa ni biasharaMkuu Mimi nataka kujenga nyumba 13.2m x 9.5m naomba unikadirie bati
Hii nyumba kwa mbele itainekana hivi au kama vipi ntaweka hanamu mbili hapo mbele.