manuel24
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 225
- 55
Itabidi tuwasiliane ndg maana hapa nilikuwa natoa elimu ili kila mmoja aweze kufanya makadirio mwenyewe, in case kama mtu atataka nimfanyie makadirio hiyo tena itakuwa ni biashara
Dm tumeluka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itabidi tuwasiliane ndg maana hapa nilikuwa natoa elimu ili kila mmoja aweze kufanya makadirio mwenyewe, in case kama mtu atataka nimfanyie makadirio hiyo tena itakuwa ni biashara
Sawa ndg, acha na mafundi nao wapate chochote kitu kupitia pesa za material...panapohitajika mifuko mitano, akikuambia ni mifuko nane huwezi kukataa (mpaka amalize ujenzi, anakuwa amekuibia hata milion 1 kupitia ulanguzi)Dm tumeluka
@Njuka II Mkuu unaweza nisaidia makadirio kwa nyumba yenye vipimo hivi (13.15x12.9)BATI (92pcs)
No of Sheet = (11×9)÷(0.6×2.7)×1.5 = 92 sheets
Twende kwenye uhalisia kuproove
Tuassume nyumba yako haina kona kona hivyo tunapaua kwa mgongo wa tembo
Kama utatumia angle ya 45, king post itakuwa ni nusu ya urefu wa tie beam.
Kingpost = 0.5×9= 4.5m
Rafter = sqrt(4.5²+4.5²)= 6.3m+ Overhang (0.3m)= 6.6m
Idadi ya bati per roofing line = (11m+Overhang (0.4×2))/0.6 = 19.6 (approx 20)
Katika 6.6m zinaingia bati 2 na kubaki uwazi wa 1m
Jumla ya bati nzima = 2x20x2 = bati 80 (pande zote mbili)
Bati moja vinaingia vipande vya 1m vitatu, na jumla vinahitajika vipande 40 (20 upande mmoja, 20 upande mwingine)
Jumla ya bati za kuziba vipande = 40/3 = 13.3
JUMLA = 80+13 = Bati 93
MBAO 2×4 (125pcs), MBAO 2x2 (40pcs)
Idadi ya kench = (11m/1.2m)+1 = 10
Kench moja huwa inatumia mbao mara 5 ya urefu wa tie beam
So idadi ya mbao (2×4) = (10x5x9)/3.6 = 125
Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2/3.6= 39.3 (Approx 40)
MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15
Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt
Mkuu mimi nimeshawaelekeza ili mfanye wenyewe, hapo ni sawa nimewapatia ndoano badala ya samaki@Njuka II Mkuu unaweza nisaidia makadirio kwa nyumba yenye vipimo hivi (13.15x12.9)
Mwamba umeiva na kuungulia kbsaaaaa hongeraBATI (92pcs)
No of Sheet = (11×9)÷(0.6×2.7)×1.5 = 92 sheets
Twende kwenye uhalisia kuproove
Tuassume nyumba yako haina kona kona hivyo tunapaua kwa mgongo wa tembo
Kama utatumia angle ya 45, king post itakuwa ni nusu ya urefu wa tie beam.
Kingpost = 0.5×9= 4.5m
Rafter = sqrt(4.5²+4.5²)= 6.3m+ Overhang (0.3m)= 6.6m
Idadi ya bati per roofing line = (11m+Overhang (0.4×2))/0.6 = 19.6 (approx 20)
Katika 6.6m zinaingia bati 2 na kubaki uwazi wa 1m
Jumla ya bati nzima = 2x20x2 = bati 80 (pande zote mbili)
Bati moja vinaingia vipande vya 1m vitatu, na jumla vinahitajika vipande 40 (20 upande mmoja, 20 upande mwingine)
Jumla ya bati za kuziba vipande = 40/3 = 13.3
JUMLA = 80+13 = Bati 93
MBAO 2×4 (125pcs), MBAO 2x2 (40pcs)
Idadi ya kench = (11m/1.2m)+1 = 10
Kench moja huwa inatumia mbao mara 5 ya urefu wa tie beam
So idadi ya mbao (2×4) = (10x5x9)/3.6 = 125
Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2/3.6= 39.3 (Approx 40)
MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15
Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt
Karibu ndg kwa makadirio, ramani na ushauriMwamba umeiva na kuungulia kbsaaaaa hongera
Hii picha haifunguki kwanguHii hapa mkuu inayo kabisa na Wala sio vidogo sana vyumba
si
Safi sanaUzi mzuri sana, we jamaa uko deep sana kwenye hii kitu.
Mahesabu haya ni magumu,ni kwa mafundi wazoefu.BATI (92pcs)