Naomba kufahamu masomo yanayofundishwa sasa hivi ngazi ya Nursery na Primary (Mtaala Mpya - English Medium)

Naomba kufahamu masomo yanayofundishwa sasa hivi ngazi ya Nursery na Primary (Mtaala Mpya - English Medium)

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,332
Reaction score
4,822
Habari za majukumu wana-JamiiForums?

Naomba msaada wa kufahamu masomo rasmi yanayofundishwa kwa sasa katika ngazi ya Elimu ya Awali (Nursery) na Shule za Msingi (Primary) kwa mfumo wa English Medium.

Lengo langu ni kupata uelewa sahihi wa mtaala mpya ili niweze kuwaandaa vizuri watoto wangu kitaluma na kimasomo.

Je, ni masomo gani yanayofundishwa kwa sasa katika madarasa yafuatayo?

ELIMU YA AWALI (NURSERY SCHOOL)
* Baby Class
* Middle Class
* Pre-Unit Class

SHULE YA MSINGI (PRIMARY SCHOOL)

* Class I
* Class II
* Class III
* Class IV
* Class V
* Class VI
* Class VII

Naomba kuwasilisha. Nitashukuru sana kwa ufafanuzi wenu, hususan kutoka kwa walimu, wamiliki wa shule au wazazi wanaofuatilia kwa karibu mabadiliko ya mtaala.
 
Back
Top Bottom