Naomba Kufahamu Mifano Ya Nyimbo Zinazoweza Semwa Zina Asili Ya Bongo-Flava

Naomba Kufahamu Mifano Ya Nyimbo Zinazoweza Semwa Zina Asili Ya Bongo-Flava

Kermion

Member
Joined
Oct 14, 2024
Posts
6
Reaction score
0
Hello wakuu.

Ningeomba kufahamu, ni nyimbo gani zinaweza kua identified kua hizi ni za asili halisi ya Kitanzania, yaani Bongo-Flava.

Maana kwa wingi muziki wetu wa nyumbani umekua influenced na miondoko ya nje, tofauti ikiwa tu ni lugha ndio Kiswahili.

Sasa, kwa wale wadau wa haya mambo ningeomba kuelimishwa kidogo nyimbo za aina gani zina asili ya nyumbani kwa extent kubwa. Yaani zile unazoweza sema hii ni Bongo-Flava (haijalishi ni mpya au za zamani)

Asanteni.
 
Back
Top Bottom