Izizimba Senior Member Joined Jan 23, 2017 Posts 152 Reaction score 412 May 31, 2025 #1 Habari, Nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda Mpwapwa JKT. Naomba kufahamu namna ya kufika kambini. Mdogo wangu yupo Dodoma mjini. Akiwa anatokea Dodoma kwa usafiri wa bus ashukie wapi? Je kambi ipo mbali na Mpwapwa mjini?
Habari, Nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda Mpwapwa JKT. Naomba kufahamu namna ya kufika kambini. Mdogo wangu yupo Dodoma mjini. Akiwa anatokea Dodoma kwa usafiri wa bus ashukie wapi? Je kambi ipo mbali na Mpwapwa mjini?
M mubhwe geniesama Member Joined Sep 11, 2024 Posts 85 Reaction score 187 May 31, 2025 #2 Mpeleke Dugai apande basi, saa 3 asubuhi saa 5 au 7 mchana au 11 jioni. Akifika mpwapwa anapanda boda kumpeleka usawa huo. Mafunzo mema!
Mpeleke Dugai apande basi, saa 3 asubuhi saa 5 au 7 mchana au 11 jioni. Akifika mpwapwa anapanda boda kumpeleka usawa huo. Mafunzo mema!
Izizimba Senior Member Joined Jan 23, 2017 Posts 152 Reaction score 412 May 31, 2025 Thread starter #3 mubhwe geniesama said: Mpeleke Dugai apande basi, saa 3 asubuhi saa 5 au 7 mchana au 11 jioni. Akifika mpwapwa anapanda boda kumpeleka usawa huo. Mafunzo mema! Click to expand... Asante kwa msaada wako . Kambi ipo karibu na Mpwapwa mjini?
mubhwe geniesama said: Mpeleke Dugai apande basi, saa 3 asubuhi saa 5 au 7 mchana au 11 jioni. Akifika mpwapwa anapanda boda kumpeleka usawa huo. Mafunzo mema! Click to expand... Asante kwa msaada wako . Kambi ipo karibu na Mpwapwa mjini?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,832 Reaction score 77,037 May 31, 2025 #4 Thread Closed!