Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata tulio maliza form four tunaruhusiwa kwenda?Wanasema ukienda kituo chochote ya jkt wanakupokea bila shida, mkikaa huko jkt ndio waweza bahatika kwenda huko jeshini
Ao ni mujibu wa Sheria ndo wanawapokea lakini Sio wale wakujitoleaWanasema ukienda kituo chochote ya jkt wanakupokea bila shida, mkikaa huko jkt ndio waweza bahatika kwenda huko jeshini
Dogo inakusaidia nini kudanganya?Kama autapangiwa jipeleke mwenyewe kwenye kikosi chochote kile na watakupokea, binafsi sikupangiwa wakati namaliza 6 na nilijipeleka mwenyewe kikosini na pia nikabaatika kupiga kozi ya Of cadet, Koo usife moyo chamsingi kubari yote utakayokutana nayo