Kama autapangiwa jipeleke mwenyewe kwenye kikosi chochote kile na watakupokea, binafsi sikupangiwa wakati namaliza 6 na nilijipeleka mwenyewe kikosini na pia nikabaatika kupiga kozi ya Of cadet, Koo usife moyo chamsingi kubari yote utakayokutana nayo