Naomba kufahamu ni Nini kinasababisha mtu awe kama anapigwa shoti

Naomba kufahamu ni Nini kinasababisha mtu awe kama anapigwa shoti

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Nikijamiiana na mwenzangu Huwa analalamika kuwa anapigwa na vitu kama shoti,eneo la shingoni,kwenye maungio ya mgongo(anapifika kileleni) ,huyu mwenzangu aliwah kuchomwa sindano za ganzi ,ni Kwa ,namna Gani hii ishu inaweza kuwa solved?
 
Ni tatizo ambalo linahusiana na moyo lakini fanya uone daktari.
 
Back
Top Bottom